Loading...

Download

Hawa ndio washindi wa Tuzo za Muziki Tanzania

Hawa ndio washindi wa Tuzo za Muziki Tanzania

Tuzo za Muziki za Tanzania (TMA) 2021 zilitolewa usiku wa jana Aprili 2, 2022 ikiwa ni miaka 7 imepita bila uwepo wa tuzo za muziki kama hizo nchini Tanzania.


TUZO ZA HESHIMA
Katika hafla hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, watu watano wa kwanza kupewa tuzo ya heshima walikuwa ni Rais Samia Suluhu, Mkuu wa Majeshi Mabeyo, Marehemu Ruge Mutahaba, Marehemu Bibi Kidude na staa wa muziki Diamond Platnumz.

WASHINDI
Tuzo ya Muigizaji Bora wa Video za Muziki wa Kike
Fevushka

Tuzo ya Muigizaji Bora wa Video za Muziki wa Kiume
Seleman Masenga

Dansa Bora wa Kike wa Mwaka
Baby Drama

Tuzo ya Dansa Bora wa Kiume
Culture Centre

Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Asili wa Kike
Sholinda Kilasi

Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Asili wa Kiume
Msafiri Zawose

Tuzo ya Wimbo Bora wa Asili wa Mwaka
Asili Yetu - Sholo Mwamba Ft Wanne Star

Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kike wa Taarab
Khadija Yusuph

Tuzo ya Msanii wa Bora wa Kiume wa Taarab
Mzee Yusuph

Tuzo ya Wimbo Bora wa Taarab
Msinifokee – Jahazi Modern Taarab

Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Raggae/DanceHall wa Kike
Dipper Rato

Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume wa Raggae/DanceHall
Baddest 47

Tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka wa Raggae/DanceHall
Unaota - Baddest 47

Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Dansi wa Kike
Luiza Mbutu

Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Dansi wa Kiume
Charles Baba

Tuzo ya Wimbo Bora wa Dansi/Rhumba/Zouk
Penzi - Twanga Pepeta

Tuzo ya Msanii Bora wa Singeli wa Kike
Snura

Tuzo ya Msanii Bora wa Singeli wa Kiume
Sholo Mwamba

Tuzo ya Wimbo Bora wa Singeli
Asili Yetu - Sholo Mwamba

Tuzo ya Mtumbuizaji Bora wa Kike
Saraphina

Tuzo ya Mtumbuizaji Bora wa Kiume
Harmonize

Tuzo ya Wimbo Bora Shirikisho wa Mwaka
Loyalty - Darassa Ft Marioo & Nandy

Tuzo ya Mtunzi Bora wa Mwaka
Alikiba

Tuzo ya Mtunzi Bora wa Mwaka
Profesa Jay


Tuzo ya Director Bora wa Mwaka
Hans Cana

Tuzo ya Albamu Bora ya Mwaka
Only One King - Alikiba

Tuzo ya Msanii Bora wa Kike Chaguo la Watu
Nandy

Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume Chaguo la Watu
Alikiba

Tuzo ya Msanii Bora Afrika Mashariki
Alikiba

Tuzo ya Msanii Bora Kutoka Kusini mwa Afrika
Sho Madjozi

Tuzo ya Msanii Bora Kutoka Afrika Magharibi
Davido

Tuzo ya Wimbo Bora wa Kushirikiana Afrika
Attitude - Harmonize

Tuzo ya Mtayarishaji Bora wa Singeli
Kenny

Tuzo ya Mtayarishaji Bora wa Muziki wa Hip Hop
S2Kizzy

Tuzo ya Mtayarishaji Bora wa Zouk/Rhumba/Dansi
Erasto Mashine

Tuzo ya Mtayarishaji Bora wa Bongo Fleva
Mr T Touch

Tuzo ya Msanii Bora Chipukizi
Sarafina

Tuzo ya Msanii Bora Chipukizi wa Kiume
Rapcha

Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hip Hop wa Kike
Chemical

Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume wa Mwaka
Young Lunya

Tuzo ya Wimbo Bora wa Hip Hop
Mbuzi - Young Lunya

Tuzo ya Msanii Bora wa Bongo Fleva wa Kike
Nandy

Tuzo ya Msanii Bora wa Bongo Fleva wa Kiume
Marioo

Tuzo ya Wimbo Bora wa Bongo Fleva
Bia Tamu - Marioo

Tuzo ya Video Bora ya Mwaka
Salute - Alikiba

Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kike wa Mwaka
Nandy

Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume wa Mwaka
Harmonize


#Trending #TanzaniaMusicAwards #TMA #Music #Alikiba #DiamondPlatnumz

Comments (15)

0/500

    Top Comments (1)

    IBRAH OFFICIAL

    Congratulations ALIKIBA,NANDY, MARIOO and HARMONIZE >

    Tanzania

    New Comments15

    PeeRocky Bz

    You cant Miss this Lets Party Hard Touch the blus below ${href0}

    Ghana

    sawatchai1402528@gmail.c

    sawatchai chuklin.1841200004567. ME0110698190. 0923517772.sawatchai1402528@gmail.com

    Thailand

    sawatchai1402528@gmail.c

    Image | Boomplay Music
    Thailand

    sawatchai1402528@gmail.c

    Image | Boomplay Music
    Thailand

    PRIME Soldier

    Wow very nice content an award I’ll love to follow it up

    Cameroon

    africanman mrmoney

    nice move

    Image | Boomplay Music
    Kenya

    africanman mrmoney

    nice move

    Image | Boomplay Music
    Kenya

    134005847

    wwcb hawapo ??? Duuh kuna shida mahali

    Tanzania

    rahimu mohamed

    aijaa kaa kitaalam kabisa ila diamond ndo kioo chao kwa sasa

    Tanzania

    IBRAH OFFICIAL

    Congratulations ALIKIBA,NANDY, MARIOO and HARMONIZE

    Tanzania

    Jackline Revocatusi 7vp

    Cool

    Tanzania

    EMMANUEL DAMINGO

    nice

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status