Loading...

Download

HUYU NDIYE RAYVANNY WA JUZI, JANA NA LEO - 1

Mwanzoni Rayvanny alikuwa akifanya muziki wa Rap kabla ya kuanza kuimba, mwaka 2011 Rayvanny aliibuka mshindi katika mashindano ya Free Style pale Coco Beach.
HUYU NDIYE RAYVANNY WA JUZI, JANA NA LEO - 1
Wakati huo alijulikana kama Raymond, akatafuta nafasi ya kutoka kimuziki chini ya Tip Top Connection ambapo alifahamiana na Babu Tale, Meneja wa kundi hilo. Kufikia Aprili 2016 alisainiwa katika lebo ya WCB Wasafi na kutoa wimbo wake wa kwanza, Kwetu uliofanya vizuri na kufuatiwa na nyingine kali.
Usiku wa Juni 25, 2017 katika ukumbi wa Microsoft Theater Centre, Los Angeles nchini Marekani, #Rayvanny alipokabidhiwa tuzo ya BET kupitia kipengele cha Viewer's Choice Best New International Act na kuwa msanii wa kwanza na pekee kutokea Tanzania kushinda tuzo hiyo hadi sasa.
Ikumbukwe #DiamondPlatnumz amewania tuzo za #BETAwards zilizoanza kutolewa Juni 19, 2001 mara tatu bila ushindi wowote, alifanya hivyo mwaka 2014, 2016 na 2021.
Hivyo, Rayvanny akawa msanii wa pili Afrika Mashariki kushinda tuzo hiyo baada ya Eddy Kenzo wa Uganda ambaye aliishinda mwaka 2015 na kuwa msanii wa kwanza kwa ukanda huo.
Ferbruari 2020 Rayvanny aliachia Extended Playlist (EP) yake ya kwanza, Flowers iliyofanya vizuri hadi kufanikiwa kuingia kwenye hatua ya kujadiliwa (Consideration) kwa ajili ya kuingia kuwania Tuzo za Grammy.
Mwaka mmoja baadaye, yaani Februari 1, 2021 Rayvanny aliachia albamu yake ya kwanza, Sound From Africa ikiwa na nyimbo 23 alizowashirikisha wasanii 20 kutokea Tanzania na nchi nyingine za Afrika.
Sound From Africa iliweza kuweka rekodi Afrika Mashariki kwa kufikisha wasikilizaji (streams) zaidi ya milioni 100 ndani ya wiki moja pekee tangu itoke.

Inaendelea.....!
Follow account YETU ili tuendelee na Story zetu

Comments (0)

0/500

    New Comments0

    What do you think of this post?

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status