Loading...

Download

MASTAA BONGO WALIOJALIWA WATOTO MWAKA HUU - 3

MASTAA BONGO WALIOJALIWA WATOTO MWAKA HUU - 3
Vanessa Mdee

Mwishoni mwa Septemba Vanessa Mdee alijaliwa mtoto

wa kiume na kumpa jina la Seven, kabla ya hapo picha za

ujauzito wake zilichapishwa kwenye Jarida la People la

Marekani akiwa na Mchumba wake, Rotimi.

Wawili hao ambao walichumbiana mwishoni mwa 2020 wanaishi wote nchini humo mara baada ya Vee kutangaza kuacha muziki, taarifa za ujauzito wa Mwimbaji huyu zilikuwa za siri sana, hata tetesi zilipochukua nafasi aliibuka na kukanusha.

Malkia Karen

Baada ya kuwepo tetesi za muda mrefu kuwa ni mjamzito, mwishoni mwa Oktoba mwaka huu mwimbaji huyu alichapisha picha kwenye ukurasa wake Instagram zikimuonyesha akiwa mjamzito.

Hatua hiyo iliambatana na kuachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Haja, lakini hadi sasa hajaweka wazi kuhusu ni nani hasa baba wa mtoto wake huyo.

Mwisho, TU follow account YETU
#vanessamdee #MalkiaKaren #flsa

Comments (0)

0/500

    New Comments0

    What do you think of this post?

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status