Loading...

Download

Boomplay yaja na tour mpya ya vyuoni!

Boomplay yaja na tour mpya ya vyuoni!


Boomplay, app inayoongoza barani Afrika kwa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki, Boomplay, imetangaza ujio wa kampeni mpya iitwayo “Boomplay Campus Tour” nchini Tanzania. Tour hii itaanza mkoa wa Dar es Salaam ikilenga kutoa elimu ya ufahamu kuhusu matumizi ya app ya Boomplay kwa burudani ya muziki.


Vyuo vitakavyoshiriki kampeni hii ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Chuo cha Uhasibu (TIA), Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIUT).


Katika kampeni hii, Boomplay itawapa fursa wanavyuo kujadiliana masuala mbalimbali kuhusu app ya Boomplay, kuonesha vipaji vyao vya muziki ili kuibua vipaji vipya kwaajili ya mustakabali mpana wa sanaa ya muziki nchini Tanzania. Pia kwenye kampeni hiyo kutakuwa na tukio zima la Boom Freshers Party, ambapo wanafunzi watapata nafasi ya kupiga kura sehemu ambayo tukio hilo litafanyika kati ya vyuo vitano vilivyotajwa hapo juu. Kura zitaanza kupigwa kuanzia tarehe 15 Novemba, 2021 katika kipengele cha Buzz Voting!


Vile vile kutakuwa na zawadi mbalimbali zitakazotolewa kutokana na shughuli tofauti kama vile kushiriki michezo, kupost matukio ya Boomplay Campus Tour kwenye mitandao ya kijamii na vingine vingi.


Kubwa zaidi vipaji vipya vilivyopatikana kupitia ‘Boomplay Campus Tour’ vitapata wasaa wa kutumbuiza kwenye tafrija ambayo vile vile kutakuwa na wasanii wakubwa wa muziki pamoja na DJ mkubwa nchini Tanzania.


#BoomplayCampus2021


Comments (148)

0/500

    Top Comments (2)

    Mjuba 99

    Nice one Let's Go![0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]>

    Tanzania

    Glory lumato10

    Wow lets go for it>

    Tanzania

    New Comments148

    medy0roe

    nice idea

    Tanzania

    Maria Edward

    asiache moyo huo

    Tanzania

    128996333

    ndio

    Tanzania

    1112fqu19

    gh

    Tanzania

    Erick Wilsona6zqg

    o o o o o o o o o enjoy l i f e a i s e e

    Tanzania

    DJ shaft

    Image | Boomplay Music
    Zambia

    99417308

    popoote potholes you can do it at a time so I can get the world is high school and then we

    Tanzania

    Christina Mark mwakaling

    ndy

    Tanzania

    jojo_15

    eeeh weeeeeeee

    Tanzania

    gift mfuse240

    sawaaa

    Tanzania

    lyonwalker

    ila sijapenda mbn mmewalenga wanachuo au ni mualiko hata kwa tulio maliza vyuo (Hope the next ni MOROGORO

    Tanzania

    EMMANUEL DAMINGO

    sawa

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status