Loading...

Download

"Naanzaje" ya Diamond Platnumz ni namba 1 Afrika

"Naanzaje" ya Diamond Platnumz ni  namba 1 Afrika

Diamond Platnumz ameendelea kufanya vema na ngoma yake mpya baada ya ngoma hiyo kushika namba moja kwenye orodha ya ngoma zilizofanya vizuri kwenye chati za muziki za hapa Boomplay kwa wiki ya pili mfululizo.


"Naanzaje" ni wimbo ambao Diamond Platnumz ameimba kwa hisia sana akimsihi mpenzi wake kuwa hawezi kumuacha kwani anampenda sana na pamoja na kuimba kiswahili mwanzo mwisho ila wengi wameonekana kupenda ngoma hiyo kiasi cha kuwa namba 1 barani Afrika kwenye ngoma 100 hapa Boomplay.


Ngoma hii tayari imeshafikisha streams takriban milioni 2 Boomplay, ikiwa ni takriban mwezi mmoja tu tangu ngoma hiyo ambayo imetayarishwa na Lizer Classic kuingia sokoni.

"Naanzaje" ya Diamond Platnumz ni  namba 1 Afrika

Ngoma nyingine ambazo zimeingia kwenye orodha ya nyimbo 100 kwa Tanzania ni pamoja na "Sweet" ya Rayvanny ft. Guchi kutokea Nigeria ambayo imeshika namba 6, "Nimekuzoea" ya Nandy ambayo imeshika namba 9 pamoja na "Sina Neno" ya Jux ambayo ni namba 17 kwenye chati hiyo.


"Naanzaje" pia imeshika namba moja kwenye Chati ya Boomplay Tanzania kwa wiki ya tatu mfululizo.

Naanzaje

#Trending #Music #DiamondPlatnumz

Comments (16)

0/500

    New Comments16

    Ajegunledwk0p

    Juventus defender Matthijs De Ligt is 'one of the very first goals' for #Chelsea next summer in the transfer market. [via @calciomercatoit]

    Nigeria

    Abaidiin Said

    gooo music from diamond platinum

    Tanzania

    Costantine Hamis

    thanks jesus[0x1f60e][0x1f60e]

    Image | Boomplay Music
    Tanzania

    Theo brood

    niaje kwa majina naitwa ABEID M BoBO natokea mwandege broo leng la kukuchek ni kuomba saport kweny sanaa ya muzik nataman au naitaj nami niwe msanii mkubwa mfano wa rayvan na mbosso broo so no yang hii 0692969983 naamin sitokuangusha broo

    Image | Boomplay Music
    Tanzania

    marizaka

    Good

    Tanzania

    NGAJUMA

    good music good singer

    Tanzania

    mamushkacom37

    Good

    Tanzania

    masterfeda

    good good good good good good good good goo goo good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good tutaongea good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good

    Tanzania

    0682316163ev3ej

    God san

    Tanzania

    Chricyter Alexander

    o g . . . . . . . . . . . . .

    Tanzania

    ᵖ ˢᵘⁿ ᵇᵒʸʸ

    safi sana na hii nyimbo iko poa pia kusikiliza popote haina matusi

    Tanzania

    Mr Petersond80r3

    Namkubali sana Simba

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status