Loading...

Download

#BoomplayAwards: Zuchu apata Tuzo 10 Boomplay

'BoomplayAwards: Zuchu apata Tuzo 10 Boomplay

Jina lake kamili ni Zuhura Othman Soud maarufu kama Zuchu. Pengine ndiye msanii wa kike ambaye anayefuatiliwa zaidi katika tasnia ya muziki nchini Tanzania.


Akiwa na takribani mwaka mmoja na miezi sita, tayari Zuchu amevunja na kuweka rekodi za muziki mbalimbali nchini na nje ya mipaka ya Tanzania.


Licha ya kuwa na muda mfupi sana ndani ya tasnia ya muziki, tayari Zuchu amefanikiwa kupata tuzo 10 kutoka Boomplay baada ya nyimbo zake kupata streams nyingi kwenye app ya Boomplay.

'BoomplayAwards: Zuchu apata Tuzo 10 Boomplay

Nyimbo ambazo zimempata tuzo Zuchu ni Litawachoma ft. Diamond Platnumz, Nobody ft. Joeboy, Wana, Nisamehe, Raha, Kwaru, Hakuna Kulala, Ashua, I am Zuchu pamoja na tuzo ya jumla baada ya kufikisha zaidi ya streams milioni 20.


Akizungumza baada ya kupata tuzo hizo, Zuchu amesema anashukuru mashabiki wake na watu wote waliomuwezesha kupata tuzo, kwani sio kwa uwezo na nguvu zake pekee isipokuwa kwa ushirikiano kutoka kwa watu wote kuanzia uongozi wake mpaka mashabiki.


"Nawashukuru mashabiki wangu, uongozi wangu na watu wote waliofanikisha mimi kupata plaques (tuzo). Ni heshima kubwa kwangu na nawaomba watu mbalimbali waendelee kufuatilia na kusikiliza kazi zangu mbalimbali, kamwe nawaahidi kutowaangusha."

'BoomplayAwards: Zuchu apata Tuzo 10 Boomplay

Kwa sasa kwenye app ya Boomplay, Zuchu ndiyo msanii wa kike anayeoongoza kusikilizwa Afrika Mashariki akiwa na zaidi ya streams milioni 40 kupitia ngoma zake zote zinazopatikana Boomplay.


Kwa sasa anatamba na wimbo wake mpya wa 'Nyumba Ndogo' ambao umeendelea kufanya vizuri kwenye app ya Boomplay. Unaweza kuusikiliza hapo chini;

Nyumba Ndogo

#Zuchu #BoomplayAwards #Music


Comments (119)

0/500

    Top Comments (1)

    Fidelis Welwel

    Hongera nyingi ziende kwake>

    Tanzania

    New Comments119

    rachael ramadhan

    Gif | Boomplay Music
    Tanzania

    Desiigner del wizzyex39y

    good

    Tanzania

    Edward Solomonennal

    good

    Tanzania

    99332630

    hongera bana tena sana tuzo kumi zote zako tu wonderful zuchu

    Tanzania

    reelgoat

    naqbali sanaaaa

    Tanzania

    Ally Saidie35fb

    zuchuuuuuuuu

    Tanzania

    samsonlinus82@gmail.com

    [0x1f615][0x1f615]

    Tanzania

    Boom_JudicaMarx

    hahahahahahhahahahaha jajaha jJaj jJJa you have to do more ... haha haha kizazi Cha digital sio poaaaa

    Tanzania

    gerdxgf2

    [0x1f614][0x1f614][0x1f614][0x1f614][0x1f614][0x1f629]

    Tanzania

    Qn lyin

    congrats

    Tanzania

    rikib6mqw

    wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow zuchu on fayaaaaa

    Tanzania

    CalvinWashington

    congrats very good music, mziki mzuri hadi unaweza ukamkuta muhuni kitaa anaimba sukari au nyumba ndogo [0x1f602][0x1f602][0x1f602] keep up the good work

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status