Loading...

Download

#BoomplayAwards: Aslay apokea tuzo tatu Boomplay

'BoomplayAwards: Aslay apokea tuzo tatu Boomplay

Nyota wa muziki nchini Tanzania, Aslay Isihaka 'Aslay' amefanikiwa kupata tuzo tatu kutoka Boomplay.


Aslay amepata tuzo hizo kupitia EP yake ya 'Kipenda Roho' ambayo imepata zaidi ya streams milioni 2, wimbo wa 'Likizo' wenye streams milioni 1 pamoja na streams za ngoma zake zote ambapo jumla yake ni milioni 10.


Mbali na ngoma hizo mbili kupata tuzo, Aslay pia amefanikiwa kupata tuzo ya kufikisha jumla ya zaidi ya streams milioni 10 kwenye ngoma zake zote kupitia Boomplay.

'BoomplayAwards: Aslay apokea tuzo tatu Boomplay

Haya ni mafanikio makubwa kwa Aslay kwenye mtandao wa Boomplay kwani ni moja ya wasanii ambao wamekuwa wakifanya vizuri kwenye app ya Boomplay.


Hii inatokana utunzi bora wa Aslay kwenye nyimbo zake nyingi, jambo linalowafanya wasikilizaji wa kila rika kuzikimbilia na kusikiliza mara nyingi kadri wanavyoweza.


Huu ni muendelezo wa Aslay kufanya vizuri Boomplay. Ikumbukwe mwaka jana, alifanikiwa kupata tuzo (plaques) nne. Ni dhahiri Aslay ataendelea kufanya vizuri na kupata tuzo nyingi zaidi kutoka Boomplay.

'BoomplayAwards: Aslay apokea tuzo tatu Boomplay

Kwa sasa, Aslay anatamba na ngoma yake mpya 'Fofofo' ambayo amemshirikisha msanii wa rap, Young Lunya. Unaweza kusikiliza hapo chini kupitia Boomplay.


Ngoma gani za Aslay ambazo ungependa kuona mwakani zikibeba tuzo?

Fofofo

#BoomplayAwards #Aslay #Music

Comments (44)

0/500

    New Comments44

    emmanuel ehuou

    get you boomplay reward points now

    Tanzania

    Odo Uko

    OK o o o o o o o o o o o o o

    Nigeria

    JUMMAI ISAH

    nice one

    Nigeria

    shijad9kg5

    big up sanaaaaaa

    Image | Boomplay Music
    Tanzania

    sahim suleiman

    seems like this gonna be to him

    Tanzania

    125950040

    makin xana

    Image | Boomplay Music
    Tanzania

    mamushkacom37

    Great

    Tanzania

    Salha Ally255

    very goooood

    Tanzania

    Rom Peter Jr.

    big up

    Tanzania

    godliven laizer

    Image | Boomplay Music
    Tanzania

    godliven laizer

    ongera sanaaaaa[0x1f621][0x1f621][0x1f621][0x1f621][0x1f621][0x1f621][0x1f621][0x1f621]

    Tanzania

    Ommy Boyz

    hongera sana kwa kaz nzur

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status