Loading...

Download

#BoomplayAwards: Rayvanny apata tuzo Boomplay!

'BoomplayAwards: Rayvanny apata tuzo Boomplay!

Kwa sasa, Rayvanny ni miongoni mwa wasanii wakubwa nchini Tanzania. Hilo halina ubishi hata kidogo kutokana na staa huyo kutoka lebo ya WCB Wasafi kufanya vizuri kwenye kila jukwaa la kusikiliza na kupakua kazi za muziki.


Kupitia app ya Boomplay, Rayvanny ambaye ni mmiliki wa lebo ya Next Level Music amefanikiwa kujipatia tuzo (plaques) sita, jambo ambalo linaendelea kuthibitisha ukubwa wa muziki wake.


Tuzo hizo ni kupitia nyimbo zifuatazo; 'Tetema' ft. Diamond Platnumz, 'Naogopa', 'Ex Boyfriend', (kila moja imepata zaidi ya streams milioni 1), EP ya 'Flowers' imepata zaidi ya streams milioni 8, 'Number One' ft. Zuchu umepata streams zaidi ya milioni 5, huku pia akipata tuzo ya jumla kwa ngoma zake zote kufikisha zaidi ya streams milioni 20. Ikumbukwe kuwa, kwa sasa jumla ya ngoma zake zote zinakaribia streams milioni 50.

'BoomplayAwards: Rayvanny apata tuzo Boomplay!

Kutokana na hilo, amejizolea mashabiki wengi ambao wamekuwa chachu kwake kuendelea kufanya juhudi za kusongesha gurudumu la muziki wa Tanzania na kuufikisha mbali zaidi.


Albamu yake ya 'Sound From Africa' imeendelea kufanya vizuri sana kwenye app ya Boomplay, ambapo mpaka sasa imefanikiwa kupata zaidi ya streams milioni 13.

'BoomplayAwards: Rayvanny apata tuzo Boomplay!

Kwa sasa, Rayvanny anatamba na wimbo wake wa 'Sweet' ambao una zaidi ya streams 500k.

Kongole kwake Rayvanny. Sikiliza 'Sweet' hapo chini.

Sweet

#Music #Rayvanny #BoomplayAwards

Comments (65)

0/500

    New Comments65

    Official Mp Barakadq3t4

    vvanny chui

    Tanzania

    Edwardem7zo

    brother anajua so anakosaje kitu kam hicho...i

    Tanzania

    Keli Ther

    cogs bro

    Uganda

    Sar-jay

    more wins

    Nigeria

    Doris Wanja

    good

    Kenya

    shazzy menzo

    big up

    Kenya

    Jackiline Benedictoeiwvm

    nakukubari kaka vizuri

    Tanzania

    roddy_01

    boomplay is the best of all[0x1f63f][0x1f63f]

    Ghana

    holydes

    united africa...divided we fall...lets push africa forward..keep it up

    Ghana

    emmanuel ehuou

    nice big up

    Tanzania

    Emmanuel Edwardekglk

    hongela kaka

    Tanzania

    Edwin godfrey

    madness

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status