Loading...

Download

#BoomplayAwards: Diamond Platnumz apokea tuzo sita Boomplay

'BoomplayAwards: Diamond Platnumz apokea tuzo sita Boomplay

Diamond Platnumz amefanikiwa kupata tuzo sita Boomplay.


Huu ni muendelezo mzuri wa msanii huyu ambaye kwa sasa ni miongoni mwa wasanii wakubwa barani Afrika akisifika kwa kufanya muziki unaofuatiliwa na mamilioni ya wafuasi wa muziki Afrika na duniani kwa jumla.


Nyimbo ambazo zimempa tuzo ni pamoja na 'Haunisumbui' ambao umepata streams milioni 2, 'Quarantine', 'Inama' ft. Fally Ipupa, 'Jeje', 'Jibebe' ft. Lava Lava & Mbosso (zote zikipata streams milioni 1) na Tuzo ya jumla baada ya nyimbo zake zote kufikisha streams milioni 20.


Kazi za Diamond zinasikilizwa kila pembe ya Afrika na baadhi ya sehemu duniani. Hilo si jambo la kawaida bali imetokana na juhudi kubwa aliyoweka kwenye muziki wake na kujizolewa mamilioni ya mashabiki duniani.


Kwa Tanzania, Diamond amekuwa ni msanii anayefuatiliwa zaidi na wafuasi, mashabiki na wapenda muziki kwa ujumla. Kila wimbo anaoachia umekuwa ukipata mapokezi makubwa kwa wafuatiliaji wa muziki.

'BoomplayAwards: Diamond Platnumz apokea tuzo sita Boomplay

Amekuwa akiongoza karibu kwenye kila mtandao wa kusikiliza na kupakua kazi za muziki na mitandao ya kijamii kwa ujumla. Ana wafuasi wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram nchini Tanzania, anaongoza kwa subscribers wengi zaidi YouTube, views wengi zaidi YouTube.


Mwaka jana, Diamond Platnumz alipokea tuzo (Boomplay Plaques) nane baada ya baadhi ya nyimbo na albamu zake kufikisha streams zaidi ya laki tano, huku baadhi zikifikisha zaidi ya milioni moja.


Nyimbo hizo ni 'Jibebe' ft. Lava Lava & Mbosso, 'Inama' ft. Fally Ipupa, 'Baba Lao', 'Kanyaga', 'The One', 'A Boy From Tandale' (albamu), 'My Number 1' (albamu) huku akipata streams za jumla zaidi ya milioni tano.


Mwaka huu tuzo zimepungua kutoka nane mpaka sita. Pengine hii imetokana na ukweli kwamba mwaka huu, tuzo zimeanzia streams milioni 1, wakati mwaka jana zilianzia streams 500k.

'BoomplayAwards: Diamond Platnumz apokea tuzo sita Boomplay

Kwa sasa, Diamond anatamba na wimbo wake wa 'Iyo' ambao umetengenezwa kwa mahadhi ya Amapiano.


Unadhani mwakani Diamond atapata tuzo ngapi?

Iyo

#BoomplayAwards #DiamondPlatnumz

Comments (112)

0/500

    New Comments112

    paulocixro

    mr p

    Image | Boomplay Music
    Tanzania

    125164633

    diamond nihatali

    Tanzania

    saiddkxy0

    mungu akuongoze

    Tanzania

    Chriss71

    oak

    Tanzania

    MDG media 254

    ffcccccccxzaaaa gaff you have enough for me Niko kampala you say I don't know what to scientist and I will diesel fuel tank capacity to rfvvvvvvcccccccc in

    Kenya

    125164633

    simbaaa weninoma

    Tanzania

    Chrissie Ndinda ( Agalbaby Mbuvi)

    Kazi za Diamond zinasikilizwa kila pembe ya Afrika na baadhi ya sehemu duniani.

    Kenya

    Edwin Dola

    ok ok

    Kenya

    ManlykJoe

    cool

    Nigeria

    Oforbueze Joshua

    great

    Nigeria

    Hamy Tz

    iyoooo waiyona iyooo[0x1f641]

    Tanzania

    issahcls1s

    wooo

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status