Loading...

Download

#BoomplayAwards: Afro East yampa tuzo Harmonize

'BoomplayAwards: Afro East yampa tuzo Harmonize

Msanii maarufu wa muziki nchini Tanzania, Harmonize amefanikiwa kupata tuzo kutoka Boomplay.


Harmonize amefanikiwa kupata tuzo hiyo baada ya albamu yake ya Afro East kufikisha zaidi ya streams milioni 2 kupitia app ya Boomplay.


Hii ni habari njema kwa msanii huyo mkubwa nchini Tanzania, ambaye albamu hiyo ina takribani mwaka mmoja na miezi minne. Streams milioni mbili si jambo dogo ama kwa hakika.


Ukubwa wa Harmonize unatokana ukweli kwamba ameonesha kujituma na kufanya kazi nzuri ambazo zimekuwa zikiwavutia mamilioni ya mashabiki Tanzania, Afrika Mashariki na baadhi ya sehemu za Afrika.

'BoomplayAwards: Afro East yampa tuzo Harmonize

Staa huyu ambaye pia anajulikana kama 'Konde Boy' au 'Jeshi' amekuwa akitoa ngoma za moto bandika bandua ambazo zimekuwa zikifanya vizuri kwenye vyombo vya habari pamoja na majukwaa mbalimbali ya kusikiliza na kupakua muziki.


Baada ya kupokea tuzo hizo, Harmonize, ambaye anamiliki lebo yake ya Konde Music Worldwide amesema kuwa amefurahi sana kupata tuzo hiyo, kwani bado kuna ngoma na project kubwa ameandaa kwa mashabiki wake ambazo zitazidi kumpa tuzo nyingine zaidi kutoka Boomplay.


'Afro East' ni albamu yenye ngoma 18 ambazo ni Bed Room, Your Body ft. Burna Boy, Fall in Love, Inanimaliza ft. Mr Blue, I Miss You, Good, Never Give Up ft. The World, Wife ft. Lady Jaydee, Mpaka Kesho, Malaika ft. Morgan Heritage, Uno, Die ft. Khaligraph Jones & DJ Seven, Body ft. Phynofino, Mama, Rumba ft. Young Skales & DJ Seven, Pain ft. Yemi Alade, Move ft. Mr Eazi & Falz The Bahdguy na Hujanikomoa.


Mastaa waliomo kwenye albamu hiyo ni pamoja na Burna Boy, Phyno, Yemi Alade, Mr Eazi, Falz, Skales , Lady Jaydee, Mr.Blue na wengine.

'BoomplayAwards: Afro East yampa tuzo Harmonize

Afro East ni moja albamu nzuri zilizowahi kuachiwa katika miaka ya hivi karibuni kutokana na kusheheni ngoma makini zenye ladha ya kila aina ambazo zinaweza kuvutia makundi na watu wa rika mbalimbali.


Uwepo wa mastaa hao umefanya albamu hiyo kujaa mchanganyiko wa ladha tofauti tofauti kama vile zenye mahadhi ya kimapenzi, zenye kutia moyo (inspirational), zenye midundo ya inayokupa mzuka wa kucheza na kadhalika.

Afro East

#BoomplayAwards #Harmonize #AfroEast

Comments (153)

0/500

    Top Comments (1)

    jumaah official

    mwaka huu watajua hawajui. [0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]>

    Tanzania

    New Comments153

    kelvinb8a7n

    good broo

    Tanzania

    Elisha laizr

    mpy kondo boy

    Tanzania

    annifad3jut

    wao kakangu upo vzli waonyesh hao kuwa ww ndo mmakonde

    Tanzania

    Sakses DBM

    Image | Boomplay Music
    Ghana

    malitinimwanomutemi

    nakubali xana kaka jexhiii

    Tanzania

    Mchizi monybax0a

    tukutane darasani[0x1f602][0x1f602][0x1f602]

    Tanzania

    gd5cz0

    b no

    Nigeria

    petermbaga

    teacher konde[0x1f647][0x1f647]

    Tanzania

    Chunda Bady Tha Luckman

    hatarreee

    Tanzania

    Richardsuccess

    eeeiiiisshhhh

    Ghana

    Clinton Sangaei3z6

    Aa a a a a a a a a a a a a a a a a

    Tanzania

    Sobojor

    Cucucucu k I icicles I i I icily ucyxu

    Ghana

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status