Loading...

Download

#InfluencersPlaylist: Sikiliza 'Amapiano Global' kuoka kwa Dj Joozey

'InfluencersPlaylist: Sikiliza 'Amapiano Global' kuoka kwa Dj Joozey

Kwa sasa Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zina ushawishi mkubwa kwenye upande wa tasnia ya burudani hususan muziki.


Mbali na kuwa na idadi kubwa ya wasanii, vile vile kuna idadi kubwa ya watu wenye ushawishi kwenye sanaa ya muziki katika ama kushauri au ku-push kazi za sanaa.


Kwa kutambua umuhimu wa watu hao, Boomplay imewapa nafasi ya kutengeneza playlist ambazi zimejaa ngoma kali. Hapo chini tumekuwekea playlist ya 'Amapiano Global' ambayo imetengenezwa na moja ya Ma-DJ hodari, Dj Joozey.


Miongoni mwa ngoma zilizopo kwenye playlist hii ni pamoja na 'Beke Le Beke' ya Busta 929 ambayo amemshirikisha Zuma, 'Heartbreakers' ya Busta 929, 'uZuma Yi Star' ya Lady Du pamoja na nyingine kibao. Bofya na usikilize hapo chini.

Amapiano Global

#Trending #Music #Amapiano Global #DjJoozey

Comments (11)

0/500

    New Comments11

    124772744

    like

    Tanzania

    124693113

    hai

    Tanzania

    124374676

    maulid sendela idrisa

    Image | Boomplay Music
    Tanzania

    Modestad7cjg

    On trends

    Tanzania

    julyvanyblow3

    nice

    Tanzania

    Haywhyhoe

    “If you say you want to see the next Messi coming out of Nigeria or the next Cristiano Ronaldo or whatsoever, if you want to see us so, then you need to make sure that back home in Nigeria, we have the best possibilities.

    Nigeria

    118052208

    i like the song

    Tanzania

    Abdallah seleman wagairo

    safii

    Tanzania

    Dotto Seleman

    good

    Tanzania

    FokuoJohn

    Hi

    Ghana

    miss yshereatc7

    [0x1f628][0x1f641][0x1f618]

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status