Loading...

Download

Chuo cha Madini Dodoma (MRI) kimeendelea kung’ara katika maonesho ya kimataifa ya Sabasaba

Chuo cha Madini Dodoma (MRI) kimeendelea kung’ara katika maonesho ya kimataifa ya Sabasaba yaliyofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam ambapo umati wa watu hususan wanafunzi walifurika wakitaka kubaini fursa za masomo zinazotolewa na Chuo cha Madini Dodoma

POCHA NA 1
Chuo cha Madini Dodoma (MRI) kimeendelea kung’ara katika maonesho ya kimataifa ya  Sabasaba
Wageni kutoka Chuo Kikuu cha North-western cha Marekani Dk. Sally Harris na mume wake Paul Harris wakifurahia madini aina ya nikeli kwenye banda la Chuo cha Madini Dodoma (MRI) katika maonesho ya kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

PICHA NA 2
Chuo cha Madini Dodoma (MRI) kimeendelea kung’ara katika maonesho ya kimataifa ya  Sabasaba
Mmoja wa watembeleaji wa maonesho ya sabasaba akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kupata maelezo katika banda la Chuo cha Madini Dodoma (MRI)

PICHA NA 3
Chuo cha Madini Dodoma (MRI) kimeendelea kung’ara katika maonesho ya kimataifa ya  Sabasaba
Mtaalam katika Chuo cha Madini Dodoma (MRI), Mkunde Msaky (Kulia, Katikati) akielezea shughuli zinazofanywa na chuo hicho kwa mmoja wa watembeleaji kutoka Ghana.

PICHA NA 4
Chuo cha Madini Dodoma (MRI) kimeendelea kung’ara katika maonesho ya kimataifa ya  Sabasaba
Mtaalam katika Chuo cha Madini Dodoma (MRI), Mkunde Msaky (Kulia, Katikati) akionesha na kuelezea kifaa cha kuchorongea mwamba kwa mmoja wa watembeleaji katika banda hilo.

PICHA NA 5
Chuo cha Madini Dodoma (MRI) kimeendelea kung’ara katika maonesho ya kimataifa ya  Sabasaba
Wakati Mwarika (kushoto) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akisoma kipeperushi kwenye banda la Chuo cha Madini Dodoma (MRI)

PICHA NA 6
Chuo cha Madini Dodoma (MRI) kimeendelea kung’ara katika maonesho ya kimataifa ya  Sabasaba
Makamu Mkuu wa Chuo cha Madini Dodoma (MRI) (Taaluma) Ramadhan Singano (wa nne kutoka kulia) akitoa maelezo kwa Karoli Michali (kushoto) ambaye ni mmoja wa watembeleaji wa maonesho ya Sabasaba kwenye banda hilo.

PICHA NA 7
Chuo cha Madini Dodoma (MRI) kimeendelea kung’ara katika maonesho ya kimataifa ya  Sabasaba
Washiriki wa maonesho ya kimataifa ya Sabasaba kutoka Chuo cha Madini Dodoma (MRI) wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kutoa huduma kwa wateja.

#SabaSabaVibe #SabaSabaDay2021 #SabaSabaDay

Comments (31)

0/500

    New Comments31

    Chelsea Bloodfans_Tz

    super [0x1f63f] [0x1f63f] [0x1f63f] [0x1f63f] [0x1f609][0x1f63f] [0x1f63f] [0x1f63f] [0x1f63f] [0x1f63f]

    Tanzania

    Mjuba 99

    @Fomywizzy:

    super [0x1f63f] [0x1f63f] [0x1f63f] [0x1f63f] [0x1f63f] [0x1f63f] [0x1f63f] [0x1f63f] [0x1f63f]

    Fomywizzy:

    yes it's DODOMAAAAAAAA

    Tanzania

    Mjuba 99

    @Mwandu Msendo:

    super [0x1f63f] [0x1f63f] [0x1f63f] [0x1f63f] [0x1f63f] [0x1f63f] [0x1f63f] [0x1f63f] [0x1f63f]

    Mwandu Msendo:

    [0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f621]

    Tanzania

    Mwandu Msendo

    [0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f621]

    Tanzania

    Fomywizzy

    yes it's DODOMAAAAAAAA

    Tanzania

    ᴥDom.er.eesᴥ⁠ 

    This is great dear[0x1f638][0x1f638][0x1f638][0x1f638]

    Kenya

    Joshua103

    well

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status