NEW BRAND MUSIC VIDEO -UNO- FROM DOLLAR100
Tanzania
0
Leo tumepiga stori na msanii wa Singeli toka Tanzania ,anaitwa Roy Mwangi a.k.a
Dollar 100ambaye siku ya Jana katambulisha New Video ya nyimbo iliyopo kwenye Ep yake Dollar100 amesema .
kwa sasa sio muda wa kulala Tena badala yake ntakua natoa video za nyimbo zoote zilizopo kwenye Ep yangu ya CHUNGA NDOA
Dollar100_tz (Roymusic baby ) official video #UNO - YouTube
napenda kuwakaribisha mafans wangu kutizama video yangu link hi happy just
pia msisahau ku - SUBSCRIBE - kwani huu Moto hauzimi Tena ni non-stop jiwe juu ya jiwe
msanii ambae wiki hii ameachia EP inayoitwa CHUNGA NDOA
Dollar 100
Ep inayofanya vizuri Sana kwa sasa na Ep ya kwanza ya mziki wa ki Tanzania ( local music )
Dollar 100 pia amechukua nafas hii kuwaomba mashabiki kumpokea kwa mikono miwili. Dollar 100 napenda kuwakaribisha wadau was muziki ,mashabiki kuniunga mkono kwa ujio wangu wangu wa Ep kwani Kila mwezi nitakua naachia Video ya NYIMBO zilizopo kwenye Ep
nawakaribisha mafans wangu kutizama New video na kuendele kisikiza Ep yangu yenye ngoma Nane ( 8 ) za Moto .
Fanya kuni - Follow Instagram officialdollar100_tz
SELFMADE WAKISHUA ll UNJUBOY (@officialdollar100_tz) • Instagram photos and videosSELFMADE WAKISHUA ll UNJUBOY (@officialdollar100_tz) • Instagram photos and videos low me on YouTube Dollar100_tz
Dollar100_tz - YouTube
Facebook Page Dollar100_tz
Thanks so much for your support na nakukaribisha kiendele kuinjoy mziki mzuri
cc RoymediaHouse

Comments (0)
0/500
New Comments(0)
What do you think of this post?