#BoomplayAwards: Nandy apokea tuzo tatu kutoka Boomplay
African Princess maarufu kama Nandy ameendelea kufanya vizuri kwenye app ya Boomplay baada ya kufanikiwa kupata tuzo tatu (Boomplay Plaque) kutoka Boomplay.
Ngoma zake zilizompa tuzo kutoka Boomplay mwaka huu ni 'Do Me' aliyomshirikisha Billnass baada ya kufikisha streams milioni 1 (1,000,000), Albamu yake ya 'The African Princess' imefanikiwa kufikisha jumla ya streams milioni 2 (2,000,000).
Na zaidi ya yote amefanikiwa kupata tuzo ya jumla baada ya ngoma zake zote kufikisha jumla ya streams milioni 10 kwenye app ya Boomplay. Hii ni hatua kubwa kwa Nandy na imedhihirisha namna mashabiki wake wamekuwa na mapenzi makubwa kwake.
Huu ni mwaka wa pili mfululizo Nandy anapata tuzo kutoka Boomplay. Mwaka jana alifanikiwa kupata tuzo moja kupitia albamu yake ya 'The African Princess'.
Akizungumza baada ya kupata tuzo hizo, Nandy amesema ni amefurahi sana kupata tuzo hizo na anasubiri kwa hamu tuzo nyingine kutoka Boomplay hususani kupitia 'Leo Leo', 'Wanibariki', pamoja na 'Nimekuzoea'
"Najisikia furaha kubwa kupata tuzo hizi, nawashukuru sana mashabiki wangu kwa kusikiliza kazi zangu bila kukosa, pia nawashukuru Boomplay kwa kutujali. Naamini nitaendelea kupata tuzo nyingi zaidi na zaidi," amesema Nandy.
Tuzo za Boomplay (Boomplay Plaque) hutolewa kwa wasanii ambao kazi zao zimefanikiwa kufikisha streams zaidi ya milioni 1 katika app ya Boomplay.
#Trending #Music #BoomplayAwards #BoomplayAwardsTZ
Comments (107)
New Comments(107)
113778116
Richard Asuman
sana nandy et kadg zuch kana jikuta kale
hally issah
nice nandy
124338870
nzur
Damiano Terry
hongera
Lygro Beiby
Lygro Beiby
hi sister nandy i'm lygro i want to sing but i dont have sponser can you help me please
Asan Njoka
[0x1f618]
107412582
Abdraim lwega Mariz
[0x1f633][0x1f630][0x1f63d]
Sunday Muyumpu
[0x1f613]
nandy[0x1f619]