Bega Kwa Bega Na Mama
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Bega Kwa Bega Na Mama - Smile The Genius
...
tanzania yangu imejaliwa upendo amani na furaha imetawala kijani na raisi wangu ni raisi wa vitendo hiyo ndio silaha kwa kiongozi mahiri jina lake ni Samia suluhu raisi ameshapata chanjo ya uzima tukachanje na sisi shida yake ndio shida yetu na sisi anachotaka ndio kile kile tunachokitafuta sisi mwendo ule ule eeh na kazi iendelee wawekezaji ruhusa nyumba ni ile ile watu wale wale ooh na shida zile zilee kama ni maji chakula wapate wale wale,boda boda vipi kwenu,mambo safi na wamachinga vipi mnasemaje na wanafunzi munaonaje kazi iendelee watanzania situnaenda na mama ,ah bega kwa bega na mama×2 kazi iendelee bega kwa bega na mama ×2 raisi Samia bega kwa bega na mama×2 bega,bega kwa bega na mama×2 raisi wetu Samia,kafuta kesi za ubabaishaji tanzania kapinga Kodi zisoza halali pia uhuru wetu wa vyombo vya habari tanzania wetu muungano anaupigania eeeeh amedumisha mahusiano ya umoja wa kimataifa na bado yupo kwenye pambano ya magonjwa yalotugubika raisi wetu ni wa mfano toure guard wa utalii yapaswa tumuunge mkono kutangaza utalii wee mwendo ule ulee eeh na kazi iendelee wawekezaji ruhusa nyumba ni ile ile watu wale wale ooh na shida zile zilee kama ni maji chakula wapate wale wale wakulima vipi kwenu mambo safi na wafugaji vipi mnasemaje mambo safi Sanaa na michezo mnaonaje kazi iendelee wakina mama bega kwa bega na raisi bega kwa bega na mama ×2 Kazi iendelee bega kwa bega na mama ×2 raisi Samia bega kwa bega na mama ×2 bega bega kwa bega na mama ×2 raisi wetu Samia bega kwa bega eeh bega kwa bega raisi bega kwa bega eeh bega kwa bega na mama bega kwa bega eeh bega kwa bega na Samia twaongozana wote mama bega kwa bega na raisi wetu
Similar Songs
More from Smile The Genius
Listen to Smile The Genius Bega Kwa Bega Na Mama MP3 song. Bega Kwa Bega Na Mama song from album Bega Kwa Bega Na Mama is released in 2021. The duration of song is 00:04:08. The song is sung by Smile The Genius.
Related Tags: Bega Kwa Bega Na Mama, Bega Kwa Bega Na Mama song, Bega Kwa Bega Na Mama MP3 song, Bega Kwa Bega Na Mama MP3, download Bega Kwa Bega Na Mama song, Bega Kwa Bega Na Mama song, Bega Kwa Bega Na Mama Bega Kwa Bega Na Mama song, Bega Kwa Bega Na Mama song by Smile The Genius, Bega Kwa Bega Na Mama song download, download Bega Kwa Bega Na Mama MP3 song