Shujaa Wa Msalaba
- Genre:Gospel
- Year of Release:2015
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Shujaa Wa Msalaba - Rose Muhando
...
nainua macho yangu nitazame mbinguni Moyo wangu unasema niwe mungu wangu kilini cha moyo wangu kimefunika neno lako aacha nikwabudu ewe mungu wangu kwenye kiti cha rehema kumejawa utukufu wako wacha nikwabudu ewe mungu wangu kileleni pa msalaba kumeandikwa jina lako Simba wa wayaudi ndiwe mungu wangu.
Shujaa wa msalaba umeinuliwa juu waacha nikuabudu ewe mungu wangu shujaa wa msalaba umeinuliwa juu waacha nikwabudu ewe mungu wangu
Similar Songs
More from Rose Muhando
Listen to Rose Muhando Shujaa Wa Msalaba MP3 song. Shujaa Wa Msalaba song from album Tazama Mungu Anacheka is released in 2015. The duration of song is 00:05:51. The song is sung by Rose Muhando.
Related Tags: Shujaa Wa Msalaba, Shujaa Wa Msalaba song, Shujaa Wa Msalaba MP3 song, Shujaa Wa Msalaba MP3, download Shujaa Wa Msalaba song, Shujaa Wa Msalaba song, Tazama Mungu Anacheka Shujaa Wa Msalaba song, Shujaa Wa Msalaba song by Rose Muhando, Shujaa Wa Msalaba song download, download Shujaa Wa Msalaba MP3 song
Comments (34)
New Comments(34)
Phellow
Phellow
mama akiamua sifa anasifu akiamua ibada anaabudu kwelikweli akiamua kucheza anacheza kwa kumaanisha ubarikiwe mama
Phellow
my all time favourite worship song
Grace Agoighnz6
shuja wa msalaba
Harris serede
blessed one
Lidya Iyoyo
audio play
leticia lugenge
hakika kibali cha uimbaji kwako kmetoka Mungu maana kuabudu nakusifu kote upo vzuri, barkiwa
142375215
Amen
Judith Mutuadvhre
shujaa wa msalaba ni wewe tu peke yako mungu
Michael Ombeni6ejtj
bleesed song from bleesed women
Victoria mbone 1@gma.1.com
Nikisa hii wimbo narudia mara mingi[0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e]
what a worship