Usinipite Bwana
- Genre:Spirituals
- Year of Release:2006
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Usinipite Bwana - Upendo Nkone
...
unipited bwana usinipite unapogusa wengine name niguse
usinipite bwana usinipite unapogusa wengine name niguse.
(verse 1)
mawazo yangu na moyo wangu nakungoja uniguse akili zangu ufahamu wangu vyote vyakungoja.ninayo imani ukinigusa napokea uzima magojwa yote mwilini mwangu yataondoka
(chorus)
.........
(verse 2)
mkono wako gusa tumbo langu ninaomba uponyaj kichwa changu na mikon yangu na miguu yangu
na macho yangu naomba uyaguse nipat kukuona naziamini kaz zako Mungu naomba niguse
(chorus)
see lyrics >>Similar Songs
More from Upendo Nkone
Listen to Upendo Nkone Usinipite Bwana MP3 song. Usinipite Bwana song from album Zipo Faida Kukaa Na Mungu is released in 2006. The duration of song is 00:07:18. The song is sung by Upendo Nkone.
Related Tags: Usinipite Bwana, Usinipite Bwana song, Usinipite Bwana MP3 song, Usinipite Bwana MP3, download Usinipite Bwana song, Usinipite Bwana song, Zipo Faida Kukaa Na Mungu Usinipite Bwana song, Usinipite Bwana song by Upendo Nkone, Usinipite Bwana song download, download Usinipite Bwana MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
France Andrew Mwakabela
GENERI2A NGOMO
bariki familia yng bwana
Adelina Kihwelo
barikiwa mno
Benjamin Mwijaghe Salvatory
Jah bless u mummy
Magreth Mvanda
ubarikiwe Sana upendo
Utukufu ni kwa Mungu juu.