Neno Lako Ni Taa
- Genre:Spirituals
- Year of Release:2004
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Neno Lako Ni Taa - Upendo Nkone
...
Neno lako ni taa ya miguu yangu na ni mwangaza wa njia zangu Kila sikuninapotembeaaa, na popote ninapokuwa weweee unaniangazia nuruyako ninapotembeaa na popote ninapokuwa wew yesu unaniangazia nuru yakoo ooooh yesuuu . . Hata nikiwa na huzun moyoni m angu wew bwana wangu yesu unanifarijii neema yakoo yanitosha maishani mwanguuu unanishikaa kwa mkono wakoo wenye nguvuu. Neema yakoo yanitosha maishani mwangu unanishikaa kwa mkono wakoo wenye nguvuu oooooh yesuuuu Hata nikiondokewaa na mpendwa wanguuu na Mali zangu zotee zitapopotea usiniacheeee nimekutegmeaaa bwana wanguuu unishikee kwa mkono wakoo ewe yesuu ninajuaa hiyo ni moja ya mapito yanguu kwa huruma zakooo utanipa Tena maradufuu oooooh yesuu . Ninachojua mm bwana wangu hautaniacha kamwe nikipita kwenye shidaa hautaniacha kamwee na jamii ikinitengaa hautaniacha kamweee marafiki wakinitenga hautaniacha kamwee ha mume aniachee hautaniacha peke yanguu
Similar Songs
More from Upendo Nkone
Listen to Upendo Nkone Neno Lako Ni Taa MP3 song. Neno Lako Ni Taa song from album Hapa Nilipo is released in 2004. The duration of song is 00:06:55. The song is sung by Upendo Nkone.
Related Tags: Neno Lako Ni Taa, Neno Lako Ni Taa song, Neno Lako Ni Taa MP3 song, Neno Lako Ni Taa MP3, download Neno Lako Ni Taa song, Neno Lako Ni Taa song, Hapa Nilipo Neno Lako Ni Taa song, Neno Lako Ni Taa song by Upendo Nkone, Neno Lako Ni Taa song download, download Neno Lako Ni Taa MP3 song
Comments (8)
New Comments(8)
deb0653
151445419
Amina
Ukiwa unapitia mashida, huu wimbo itakupoza na kukutuliza[0x1f653][0x1f653][0x1f653][0x1f653]
~neyx
Neno lako Bwana likazidi kutupa Nguvu mioyon Mwetu
Grace Masakicf95n
[0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e]
recho malitin
[0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f636]
phoebegsy51
neno liwe taa ya miguu yangu
Julius Nicholas@28
Ukiwa unapitia mashida, huu wimbo itakupoza na kukutuliza[0x1f653][0x1f653][0x1f653][0x1f653]
RENVA ADIMN MKUU
Aminaaa ubarikiwe mtumish
lakn hazidownoadik jamman