Boom Kubam
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Boom Kubam - JCB (TZ)
...
Intro: Cheza ma boom kubam Chorus: Cheza ma boom kubam 'watu wetu wanatufahamu >> wanatufahamu Piga ma boom kubam ( Ah ) 'mpaka tunakamilisha album >> tunakamilisha album Cheza ma boom kubam ( Ah ) 'watu wetu wanatufahamu >> wanatufahamu Piga ma boom kubam ( Ah ) 'mpaka tunakamilisha album >> tunakamilisha album Verse 1: Nimuogope nini, nani? Ulimwengu mali ya mwenyezi 'yote niliyo nayo ni kwa mapenzi Mimi nipo hata kama hupendi 'na napanga mambo yangu kiutaratibu Nilichojaliwa sina aibu 'siweki kinyongo maisha yanapo adhibu Ukimya wangu nalo ni jibu 'ni test yakukute yatakayo kukuta Niheshimu nikuheshimu 'acha kuropoka Jasiri 'nazikabili changamoto kiumahiri Kila mpango huwa nautafakari 'natafuta Hivyo chuna nikijadai 'hii misingi inakwenda sambamba na maslahi ( Yeah ) Aliye kwambia mi ni noma hajakosea 'washkaji wengi fake wanashindwa kunizoea Chorus: Cheza ma boom kubam 'watu wetu wanatufahamu >> wanatufahamu Piga ma boom kubam ( Ah ) 'mpaka tunakamilisha album >> tunakamilisha album Cheza ma boom kubam ( Ah ) 'watu wetu wanatufahamu >> wanatufahamu Piga ma boom kubam ( Ah ) 'mpaka tunakamilisha album >> tunakamilisha album Verse 2: Ashenalee 'namshukuru kwa haya machale, aisee Niko poa, niko fresh, niko mukidee 'sina noma wala nini kama Wikibe Napenda nnacho fanya kama King Kibe Unachofanya jiamini hata nini we 'unacho amini ni madini niamini, aisee Kuwa makini, aisee Hapa mjini bwashe 'jipange taratibu usiende race kireh Kuna ma reh wanafikiri ni ya Dr. Dre 'wako tarareh Niko Chuga na wanangu wa swagareh Tuko liqour, tuko chupa, tuko tanqueray Toka juzi sio leo uliza jana, je? Tuko first class na Danny 'tuki discuss plan ya kurusha tena burudani Kujaza Amri Abeid, Mkwakwani 'tuko vitani aliyeko mbele yetu ni nani? Oowee...! Chorus: Cheza ma boom kubam 'watu wetu wanatufahamu >> wanatufahamu Piga ma boom kubam ( Ah ) 'mpaka tunakamilisha album >> tunakamilisha album Cheza ma boom kubam ( Ah ) 'watu wetu wanatufahamu >> wanatufahamu Piga ma boom kubam ( Ah ) 'mpaka tunakamilisha album >> tunakamilisha album Outro: << Wanatufahamu >> << Tunakamilisha album >> ... << Wanatufahamu >> << Tunakamilisha album >>
Similar Songs
More from JCB (TZ)
Listen to JCB (TZ) Boom Kubam MP3 song. Boom Kubam song from album Fundi Mitambo is released in 2019. The duration of song is 00:02:58. The song is sung by JCB (TZ).
Related Tags: Boom Kubam, Boom Kubam song, Boom Kubam MP3 song, Boom Kubam MP3, download Boom Kubam song, Boom Kubam song, Fundi Mitambo Boom Kubam song, Boom Kubam song by JCB (TZ), Boom Kubam song download, download Boom Kubam MP3 song