- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
aaaaaaaaaaaah aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah aaaaaaaaaaaaaah
eeeeeeeh eeeeeh
mbona niliyaweka sawaa na moyo wangu kati umeugawanyasana nitakuwaje nitafanyaje yani mamboo kibawo yameingiliyana ata ulisemaa sorry kwangu haina maana saa nitafanyaje nitafanyaje nitakuwa mbona nilijitahidi kuyaweka sawa kuyasawazicha kwaio penzi halina nguvuu zakiumee nalimekosa utulivu limekosa kuzalicha yani imepita balidiii kilichotokea sarah faida yakee imekwichaa naulisema pekeyangu ndo founder jicho lako lanitazama mageni umekalibisha anayepaswa musamaaa ndoanaye koseya humekusudiya yani unamachafu mengii yenyee mboleaa kati uwezii kujutia weeeh
kusudi weeeh kusudi weeeh umefanya kusudii weeeh siulijuwa nitawumia kusudii weeeeh umefanya kusudi
aaaaah aaaaaah aaaah eeeeh
siunajuwa moja haifanani na mbili hata kwakusingiziya kama nilivyo letaa ukwelii siata ungeniambiya hasala nilichoka kunyanyaswa nanikajuwa ulifanya kusudii yani ulikusudiya nasiunapenda kuniona nikilaa uliwagawiya mwicho wakakuita kalasa oooh mazowea yana shidaa ilanitazowea nitakaa sawa moyo umeuchoma mwibaa ila weeh tembea nitapona bila dawaa naa hanapaswa musama ndoanaye kosea humekusudi tena unamashafu mengii yenye mbolea kati uwezii jutiya weeeh
kusudi weeh kusudii weeh umefanya kusudii siulijuwa nitaumiya ulifanya kusudii weeeh kusudi weeeh kusudii
Similar Songs
More from Ibraah
Listen to Ibraah Kusudi MP3 song. Kusudi song from album The King Of New School is released in 2022. The duration of song is 00:03:33. The song is sung by Ibraah.
Related Tags: Kusudi, Kusudi song, Kusudi MP3 song, Kusudi MP3, download Kusudi song, Kusudi song, The King Of New School Kusudi song, Kusudi song by Ibraah, Kusudi song download, download Kusudi MP3 song
Comments (54)
New Comments(54)
Benny Jc8x34
Yokozuna4qbjx
alaf kuna mpuuzi atamlinganisha ibra na macvoice
coslionboy
[0x1f627][0x1f612][0x1f621][0x1f614]
Ramseyghza6
umeweza chinga
Brymahennah De Banjy
[0x1f618]
hassandf3vd
ipo og snaaa
Joe Baben
[0x1f60d][0x1f617] chinga
Aggreysande
nice one ibraah
salehemnvqz
Unajua man
official jorkeper
ngoma kari sana
acahana na mapiano tupigie ngoma kama hizi mfululizo