WAMTUMAINIAO BWANA
- Genre:Soul
- Year of Release:2018
Lyrics
WAMTUMAINIAO BWANA - KWAYA KUU HABARI NJEMA ARUSHA
...
Wamtumainio Bwana
ni Kama mlima Sayuni
ambao hautatikisika wakaa milele
Kama milima inavyoizunga Yerusalemu ndivyo Bwana anavyowazunguka watu wake tangu sasa na hata milele
Kwa maana fimbo ya udhalimu haitakaa iwe fungu la wenye haki haitakaa
Wenye haki wasije wakainyosha mikono yao kwenye upotovu wanao uwatendee mema walio wema nao walio wanyoofu wa moyo.
Bali wao wanaozigeukia njia zao zilizopotoka Bwana atawaondoa pamoja na watenda maovu, mahali amani ikae na Israeli
Wamtumainio Bwana
ni Kama mlima Sayuni
ambao hautatikisika wakaa milele!!!
see lyrics >>Similar Songs
More from KWAYA KUU HABARI NJEMA ARUSHA
Listen to KWAYA KUU HABARI NJEMA ARUSHA WAMTUMAINIAO BWANA MP3 song. WAMTUMAINIAO BWANA song from album WAMTUMAINIAO BWANA is released in 2018. The duration of song is 00:04:02. The song is sung by KWAYA KUU HABARI NJEMA ARUSHA.
Related Tags: WAMTUMAINIAO BWANA, WAMTUMAINIAO BWANA song, WAMTUMAINIAO BWANA MP3 song, WAMTUMAINIAO BWANA MP3, download WAMTUMAINIAO BWANA song, WAMTUMAINIAO BWANA song, WAMTUMAINIAO BWANA WAMTUMAINIAO BWANA song, WAMTUMAINIAO BWANA song by KWAYA KUU HABARI NJEMA ARUSHA, WAMTUMAINIAO BWANA song download, download WAMTUMAINIAO BWANA MP3 song