Chozi la haki
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
CHOZI LA HAKI - Ambwene Mwasongwe
...
bado nakumbuka maono niliyoyaona zamani nalimuona bwana ameketi amezungukwa na halaiki naliona watu makundi makundi wakimnenea wapewe haki tena nalisikia sauti za vilio wakimmiminia machozi nasikia majina ya watu yakitajwa majina ya nchi majina ya viongozi kutoka ardhini misituni na majini sauti ya damu ikidai kisasi naona wingu jeusi la laana
Similar Songs
More from Ambwene Mwasongwe
Listen to Ambwene Mwasongwe Chozi la haki MP3 song. Chozi la haki song from album Ombi Langu is released in 2022. The duration of song is 00:07:30. The song is sung by Ambwene Mwasongwe.
Related Tags: Chozi la haki, Chozi la haki song, Chozi la haki MP3 song, Chozi la haki MP3, download Chozi la haki song, Chozi la haki song, Ombi Langu Chozi la haki song, Chozi la haki song by Ambwene Mwasongwe, Chozi la haki song download, download Chozi la haki MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
Goldybasant
tamala 7bhk9
[0x1f630]
Nuruilxf5
tastemony of my life
nimeguswa sana na huu wimbo MUNGU atuongoze bila ya yeye wote tutaukumiwa