Fyeka
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2019
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Fyeka - ETHIC
...
Mmmh...(mmmh) Mmmh...(mmmh) Mmmh...(mmmh) Patos Music Aaah, hapa bana ni ma knock-out ka fainali Na huwanga huwa sibongi ka niko ndani Mi huwa bubu sana sana ka niko kazi Tayari wanadai ati me ni mfunny Na niko sure jo Wanafyeka akicheka aah Fyeka akicheka aah Fyeka akicheka aah Fyeka akicheka Na hapa bana ni ma... Chuma, chuma, chuma ilale ndani Chunguza kajaba chai ikibaki Nikidunga ndege juu ni khaki Cheki kina Mercy sisi lucky Zungusha mahaga lefty righty Nacheki ma mini leo ni ku dirty Nimeshika zimerunda ni ku nasty Kumejaa tu moshi na wanati Na hapa bana ni ma knock-out ka fainali Na huwanga huwa sibongi ka niko ndani Mi huwa bubu sana sana ka niko kazi Tayari wanadai ati me ni mfunny Na niko sure jo Wanafyeka akicheka aah Fyeka akicheka aah Fyeka akicheka aah Fyeka akicheka Na hapa bana ni ma... Nipate ndani ya ghetto jo, Kenya sihami Aaah mbby akizungusha mguze ndani kwa ndani Niko daro nimenyanya ifikie wazazi Si ati nishapiga chok, stori ya nyaru sitaki Twende dada, twende dada Chora saba aah-aah Twende kaka, twende kaka Mguze ndani aah-aah Vile anakatika boss, aah-aah aah Mguze ikus mmmh aah, aah-aah aah Na hapa bana ni ma knock-out ka fainali Na huwanga huwa sibongi ka niko ndani Mi huwa bubu sana sana ka niko kazi Tayari wanadai ati me ni mfunny Na niko sure jo Wanafyeka akicheka aah Fyeka akicheka aah Fyeka akicheka aah Fyeka akicheka Na hapa bana ni ma... Fisi ni fisi hadi Samantha anakunyandulia Mamoshi moshi puff pass me naunguza Akisleki pongi naingizanga punguza Na ka ni mtoto wa Matiangi nitachunguza Niko riet, niko riam Niko liet, niko diang Sukwa tekwa, seswa tokwa Hakuna uber hii maiar, panda tuktuk Mwaga vibrate, tega kama tuktuk Na hapa bana ni ma knock-out ka fainali Na huwanga huwa sibongi ka niko ndani Mi huwa bubu sana sana ka niko kazi Tayari wanadai ati me ni mfunny Na niko sure jo Wanafyeka akicheka aah Fyeka akicheka aah Fyeka akicheka aah Fyeka akicheka Na Hapa bana ni ma knock-out ka fainali Na huwanga huwa sibongi bana ka niko ndani Mi huwa bubu sana sana ka niko kazi Tayari wanadai ati me ni mfunny Na niko sure jo Ati wanafyeka nikicheka aah Fyeka akicheka aah Fyeka akicheka aah Fyeka akicheka Na hapa bana ni ma....
tps://afrikalyrics.com/ethic-fyeka-lyrics
Similar Songs
More from Ethic
Listen to Ethic Fyeka MP3 song. Fyeka song from album Fyeka is released in 2019. The duration of song is 00:02:59. The song is sung by Ethic.
Related Tags: Fyeka, Fyeka song, Fyeka MP3 song, Fyeka MP3, download Fyeka song, Fyeka song, Fyeka Fyeka song, Fyeka song by Ethic, Fyeka song download, download Fyeka MP3 song
Comments (30)
New Comments(30)
Mose githaiga
ýøűňğęšť bløød
gdge dhhd rjjr rjnr fjjr rjjr rjjr rij djjf fjjj fjjjr
chronixx 254
[0x1f618][0x1f618][0x1f630][0x1f63f][0x1f63f]
Rehema Adhiambodeac2
fiti
Phellow
❤️❤️
PHELLOW MMBUNI
❤️❤️
Scola Njeribqkmr
wazi[0x1f627]
23456789bhdzx
nice song
Prena Hidalgoalxri
taniua kwanza hizo mistari
polycap vibrations
big tune
newton thuranira
seska joo apo uliua
mose mgaza mgw