Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2021

Lyrics

Nimesikia Sauti - Martha Mwaipaja

...

Ooooh hallelujah,nimesikia sauti nyingi hilio niponya ni ya yesu ,,,,nimeambiwa habari nyingi hilio nivusha ni ya yesu,nimesikia sauti sana Mimi iliyoninganga moyo ni ya yesu,nimeambiwa vitu vingi sana nilipoambiwa na yesu nikapona aaah,,,yesu nitumaini,mahali pamepotesa tumaini ,,nilipasa sauti ili watu wanielewe ,akanielewa masiya tu,nikajatibu kutetea watu wajue,ajaniambia nimekutetea mwangu,akaniuliza unamuusikiliza nani,nisikilize mwangu utapona ,akasema ondoa kusikiliza wengine ukinisikilisa mimi utaishi, nimesikia sauti, za watu wengi lakini ya yesu ikaniponya ,,,,yeeeeeh nimesikia sauti nyingi ,ikiniambia iliyoniponya ni ya yesu ,nimeponwa ,nimesikia sauti nyingi ,sauti ya yesu iliyoniponya ni ya yesu,,,aaaah , Asante yesu wangu, umeponya moyo wangu baba, ooooohh hallelujah,yesu wewe ni wa wote ,naomba baba sikwakila wengi, wengi wamekosa pakuelekea wakikusikia wewe watapona watapona ,wameambiwa hawataweza kabisa ,wakikusikia masiya wataweza ,wameambiwa hanatumaini,ukisika kwao wataishi,uliposika ,Israel walitoka Misiri,uliposika Goliath aliangushwa, uliposika jushua akasimamisha jua akasikikana kwa wengine wataishi, uliposika Elia alishusha moto , uliposika Daniel hakuliwa na Simba,sikika kwa wa Tanzania wote yesu , sikika kwa mataifa yote waishi, eeeeeehh , nimesikia sauti nyingi imeniponya,ni ya yesu ,ningeenda wapi

Similar Songs

Listen to Martha Mwaipaja Nimesikia Sauti MP3 song. Nimesikia Sauti song from album Nimesikia Sauti is released in 2021. The duration of song is 00:05:35. The song is sung by Martha Mwaipaja.

Related Tags: Nimesikia Sauti, Nimesikia Sauti song, Nimesikia Sauti MP3 song, Nimesikia Sauti MP3, download Nimesikia Sauti song, Nimesikia Sauti song, Nimesikia Sauti Nimesikia Sauti song, Nimesikia Sauti song by Martha Mwaipaja, Nimesikia Sauti song download, download Nimesikia Sauti MP3 song

Comments (22)

0/500

    New Comments22

    frankjames j5n54

    If you have zenith Bank account or Ecobank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new account within 30 minutes time the job is done +2348053432125

    Nigeria

    Etienne ji5o2

    da Martha najuwa barikiwa na nyimbo zako tangu album ya kwanza mpaka hii ya ADUI

    Democratic Republic of the Congo

    purea5dyz

    Mungu akubariki mnoo

    Tanzania

    Elijah Ogembo 2ld02

    bi.Mwaipaja ni wa baraka sana, kila ninaposikiliza nyimbo zake na hisi mbingu zikifunguka. barikiwa zaidi

    Kenya

    Elijah Ogembo 2ld02

    Always a blessing whenever i listen to her songs... only Jesus voice changes lives

    Kenya

    141520083

    uko juu juu zaidi

    Kenya

    132266192

    ubarikiwe sana

    Tanzania

    140186565

    mungu mwema

    Tanzania

    lovenessdzwvc

    nataman san na mm ni we ata kuimba kam yeye

    Tanzania

    lovenessdzwvc

    nimebalikiwa san na huu wimbo

    Tanzania

    martha mwaipaja family fan

    qq

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status