Nitavumilia
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Nitavumilia - DLove (Tz)
...
yaliniumiza nikajitia kusahau nikapenda tena yakaniliza tena na bado napenda tena stress za kufululIza nilivyo zaidi cjui ata kusema sema nashukuru mungu nahema na leo napenda tena ndoyalivyo mapenzi hata huyu mpya nilionae ananitesa ana nikondesha ana niendesha kumuacha siwezi mana ndo moyo nilipo uwegesha mvua zikinyesha ana niponyesha kwenye baridi napoaa nitavumilia tena nshatangaza ndoa nitavumilia mana ndo anae niokoa nitavumilia kutanga tanga sio powa nitavumilia tatarara kanilambiasha asali kila nikimuwaza kumwacha Wazo lapotea navua suruali ninatafuta na maji yakuloekea penzi ndo selikari nae ndo rahisi siwezi ata kumfokeaa ila potea mbali minaridhishwa na mapenzi anayo nigea nikununa nalishwaga masaptasapta sikumbuki nisha funga chapter tukishibaga kinacho fata utelezi ndo yalivyo mapenzi atauyu mpya lionae ananitesa ana nikondesha ana nikondesha kumuacha siwezi mana ndo moyo nilipo uwegesha mvua zikinyesha ana niponyesha kwenye baridi napoa nitavumilia tena nshatangaza ndoa nitavumilia mana ndo anaeniokoa nitavumilia kutanga tanga sio powa nitavumilia tatararaa
Similar Songs
More from DLove (Tz)
Listen to DLove (Tz) Nitavumilia MP3 song. Nitavumilia song from album Nitavumilia is released in 2021. The duration of song is 00:02:47. The song is sung by DLove (Tz).
Related Tags: Nitavumilia, Nitavumilia song, Nitavumilia MP3 song, Nitavumilia MP3, download Nitavumilia song, Nitavumilia song, Nitavumilia Nitavumilia song, Nitavumilia song by DLove (Tz), Nitavumilia song download, download Nitavumilia MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
Hidaya9sir4
Joeldkmiu
[0x1f640]
DeDon Passqcal
Gud Music[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
finnest boe
lit
dazihTz
Nakubli mwanngu[0x1f627][0x1f627]
kazi kazi