Kibabu Na Binti
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Kibabu Na Binti - Dizasta Vina
...
"mmmh kwahiyo nini kilikujia akilini mara ya kwanza ulipomuona kibabu?" "mmmmh pesa eeh pesa suti aliyovaa, gari anayoendesha vyote vilionesha kuwa ana pesa" " aanh okay ina maana hukujali vitu vingine?" "hapana umri, background yake kazi yake havinihusu as long as ana pesa" storyteller: Aah binti akaweka pozi matata kibabu akaona huu ni msosi akaja binti akamkonyeza kibabu, kibabu akajibu kibabu akafungua pochi binti akifungua zipu binti akavua nguo zake za mwili akideka akimwacha yule kibabu tajiri akitweta hakujali kuitwa malaya hakuona haya kwa maan akili yake iliwaza pesa akathibitisha kibabu ana sumni za kutupwa alikua na mvi kuonyesha umri pia ni mkubwa akajisemea "kibabu anafaa kuwa baba yangu ni ajabu kuona anapiga hatua kwa machangu..." akaendelea kuwaza "labda pengine hana mke, kwamba ndo maana huu utamu anaufata nje au mkewe ni mvivu utamu anaupata nusu" akaacha kuwaza baada ya kugundua hayamuhusu binti akalikabidhi "tunda" ilikua shughuli kamili shahidi ukuta alijituma kuigiza furaha ilipobidi aishinde dhiki maana babu alimuhaidi bunda binti akaweka mashauzi kistaa mpaka kibabu akaenda raundi kadhaa hata vyumba vya jirani wote walishtuka kumsikiliza babu akitoa sauti za raha aah na sisi mashahidi tulikuwepo na hii ndo inafanya hii Hadithi iwe spesho binti aliwaza leo hakukumbuka jana na upeo wake haukumruhusu kuitabiri kesho.
Similar Songs
More from Dizasta Vina
Listen to Dizasta Vina Kibabu Na Binti MP3 song. Kibabu Na Binti song from album The Verteller is released in 2021. The duration of song is 00:04:58. The song is sung by Dizasta Vina.
Related Tags: Kibabu Na Binti, Kibabu Na Binti song, Kibabu Na Binti MP3 song, Kibabu Na Binti MP3, download Kibabu Na Binti song, Kibabu Na Binti song, The Verteller Kibabu Na Binti song, Kibabu Na Binti song by Dizasta Vina, Kibabu Na Binti song download, download Kibabu Na Binti MP3 song
Comments (20)
New Comments(20)
omega chrispine
Stany Chriss
htr san ioo
Stany Chriss
[0x1f638][0x1f638][0x1f638]
Dax_trevoyrn.47
[0x1f61b][0x1f63b]
Joshua Mbwambof9jef
[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
ibra pawa
mhhh pesa
Boni mhada Boni k mhada
tisha shana kibabu jau
Rogasianajwdq
kibabu funzo kubwa
Mgaru Chau
kaka me sikupinge
really Kasomwa
gumzo[0x1f63f][0x1f63f]
POPKIDDY
[0x1f637]
isco kyungu
kibabu hatar
Dizasta vina big up sana zidi dondosha punchlines