Nimekuchagua Wewe
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2016
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Nimekuchagua Wewe - Bob Rudala
...
nimekuchagua wewe uwe wangu
nisafari ndefu ya mwanadamu kimaisha na mapenzi iwe mke au mme mara moja kubahatika maishani mwako kumpata mtu flani ambae huwa ni maalumu kwako kipenzi cha moyo wako,
kwa kiasi kikubwa nimetambua na kuamini yakua kukutana kwetu ni mwanzo wa kutimia kwa ile ndoto yangu ya siku nyingi kwani pendo letu linakua kulingana na wakati,
kila Siku maishani mwangu nilikua na ndoto ya kumpata wangu mwenzi tufunge nae pingu za maisha.
kiitikio..........
"nimekuchagua wewe uwe wangu, wangu wa maisha wa kufa na kuzikana,
usijari mangi maneno watu wasemayo yaliyopita sindwele tugange yanayo kuja.
nakupenda wee ewe eee malaika wa moyo Wangu.
nakuhusudu we ewe we ee ua la Moyo wangu
see lyrics >>Similar Songs
Listen to Bob Rudala Nimekuchagua Wewe MP3 song. Nimekuchagua Wewe song from album Nimekuchagua Wewe is released in 2016. The duration of song is 00:05:20. The song is sung by Bob Rudala.
Related Tags: Nimekuchagua Wewe, Nimekuchagua Wewe song, Nimekuchagua Wewe MP3 song, Nimekuchagua Wewe MP3, download Nimekuchagua Wewe song, Nimekuchagua Wewe song, Nimekuchagua Wewe Nimekuchagua Wewe song, Nimekuchagua Wewe song by Bob Rudala, Nimekuchagua Wewe song download, download Nimekuchagua Wewe MP3 song
Comments (33)
New Comments(33)
173419989
173041301
wimbo mzuli mno
Matha laizer
wimbo mzuri
Elianorah Perfect
@yehova amaro
Elizabeth Emmanuel99ji2
[0x1f641][0x1f641][0x1f618][0x1f607]jaman wimbo mzur sana huu na umetulia had raha
Zainab Nikhil
nice
Mawazo mema sana. Moyoni ninabubujika hisia za uaminifu.
lucy sukwa
nimeupenda sana
Esther Gohorora
big up jaman
Sabrina Dilangale
jamn mm niachen t nikisikia huu wimb namkumbuk mume wang popot nilip o
Paul mwanansila
nimeupenda sana wimbo huu kwa sababu una ujumbe mzuri unaofaa kuielimisha jamii hasa wanandoa
Prof.Hanson Dickson Samson
wimbo bora wa ndoa
John Thomasts4u0
nyimbo aliimba naipenda xana
[0x1f642]tz