Waliofika Kwake
- Genre:Gospel
- Year of Release:2010
Lyrics
Waliofika Kwake - Kurasini SDA Choir
...
Stanza 1
Watu wengi walikuja kwa Yesu, hawakubakia kama mwanzo
Walibadilika wakazaliwa upya, jaribu leo utabadilika
Chorus
Waliofika kwake (fika kwake), wakiwa ni vipofu (vipofu) walifanyika wana (wana ×2) wana wa kifalme.
Waliofika kwake (fika kwake), wakiwa ni viwete (viwete) wakatupa magongo (yao ×2) wakaenda zao. ×2
Stanza 2
Namtafuta atakae nitoa hapa (yuko wapi)
Nimezungukwa na adui kote kote (niende wapi)
Namtafuta Yesu, ni Yesu pekee wakunitoa hapa
see lyrics >>Similar Songs
More from Kurasini SDA Choir
Listen to Kurasini SDA Choir Waliofika Kwake MP3 song. Waliofika Kwake song from album Ukuta wa Jeriko is released in 2010. The duration of song is 00:04:08. The song is sung by Kurasini SDA Choir.
Related Tags: Waliofika Kwake, Waliofika Kwake song, Waliofika Kwake MP3 song, Waliofika Kwake MP3, download Waliofika Kwake song, Waliofika Kwake song, Ukuta wa Jeriko Waliofika Kwake song, Waliofika Kwake song by Kurasini SDA Choir, Waliofika Kwake song download, download Waliofika Kwake MP3 song