Hesabu
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Hesabu - Bando MC
...
Shy town boy yeah
Muungwana nishachutama niwe zuzu ama zoba maana alinisomesha mama kwa msaada wa nguvu ya vikoba uswazi kuwa winga kwenye dagi nyuki nitakaa mizinga yote ila sio mzinga wa konyagi
Nawapa vidonge wako hoi nina hasira kiasi cha kumpiga konde hadi konde boy
Ikiwa mbichi watachagua na wabongo wanaamini kwamba bongo hakuna mbishi kama Muhaa na siku hizi naona ukubwa bajeti na ukiamini kwamba mtoto ni mchanga basi mkubwa sementi
Ukitaka ujiseti hoi nakupa somo ukiona demu amepewa shavu ujue amegawa mdomo tupa shuka mwana Sinza kumekucha hata mwenye kipara ukifika kimalasuta mapenzi ya bongo ukiyapa chance yanakutesa wenye pesa hawana mapenzi wenye mapenzi hawana pesa
Nataka kunya…kunyanyua mike eeh bwana nataka kunya…kunyanyua mike x4
Na ukiniona sijanyoa ujue uchebe namtuzianga Shishi nampa tofali domo zege atajengea ndichi kutafuta ubikra kwa Amber Rutty ni kulazimisha kitambaa cha leso ukishonee suti
Kupenda moyo ndio maana moyo unaumia kutoa ni moyo na kujumlisha ni moyo pia moyo ungebaki single tu kusukuma harakati moyo wa mama ntilie ungesukuma chapati aah wanaelewa kina Dangote bar moja kwenye verse wanalewa ma-rapper wote wasojua kuchana na hawajui punch line wakichana punch zao zinakua punch laini huu mziki hauna haki unavyosukwa inachanganya wananyimwa haki aki na ukwa sishangae wanao win akili sufuri namshangaa demu wako anaenda mwezini bila nauli
Nataka kunya…kunyanyua mike eeh
Bwana nataka kunya…kunyanyua mike x4
see lyrics >>Similar Songs
More from Bando MC
Listen to Bando MC Hesabu MP3 song. Hesabu song from album Hesabu is released in 2021. The duration of song is 00:03:52. The song is sung by Bando MC.
Related Tags: Hesabu, Hesabu song, Hesabu MP3 song, Hesabu MP3, download Hesabu song, Hesabu song, Hesabu Hesabu song, Hesabu song by Bando MC, Hesabu song download, download Hesabu MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
frank jamesbxuw1
Vanny Emmanuel0isue
NAKUBALI Shy town Boe
Chris boe
unyamaaa mwingi sanaa
kingryoba18
naqbl axee never fall
Bando unajua bhanaa mpaka unaboa shy town boy[0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d]
wensydkgpi
noma sana mwanang bando
Skidy tz
Bando unajua bhanaa mpaka unaboa shy town boy[0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d]
If you have zenith Bank account or Ecobank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new account within 30 minutes time the job is done +2347063796632