Loading...

Download
  • Genre:Pop
  • Year of Release:2020

Lyrics

KICHUNA - Chikuzee

...

kama kawaida shalala kwala kwala mpaka matokeo ...Chikuzeee DK 2 home music producer shizo au sio kama kawaida mwanaume heshimu hiyo aah Chikuze

yani jiji nzima we ndio kichuna pekee ulioambia ukijiteka na utei cheki sasa na kukuta matekeo umebaki walia we uku pekeo yani jiji nzima we ndio kichuna pekeo ulioambia ukijiteka na uteo cheki sasa na kukuta matokeo umebaki walia we uko pekeoo....kama wahenga walivyo sema kilicho na sifa kipewe sifa sijakataa we ndio la waridi uliye na sifa kijiji kile niliyokueleza uyatekeleze ulijifanya mimi na li piga zeze kwa hakika sijakuwa crazy ila na kusihi beiby usiteleze usifikiri warembo ni tofauti kumbuka siku za kucheza ukuti ua maumbo ni tofauti wenye sura za mvuto na sauti unaposhikwa we shikamana mifupa kura haijafanana unaposhikwa we shikamana mifupa haijafanana yaani sista duuu yaani jiji nzima we ndio kichuna pekeo ulioambia ukajiteka na uteo cheki sasa na kukuta matokeo umebaki walia we uko pekeo yani jiji nzima we ndio kichuna peke uliyoambia ukajiteka na uteo cheki sasa na kukuta matokeo umebaki wali we uko pekeo

ulidhani ni vyema unavyofanya ila hukujua unapoteza mwanya kuhanya hanya haina maana na mm nilisha kukanya kutoka zama asiyeskia la mkuu huvunjika guu ya kikuta makuu utanikumbuka tu asiyeskia la mkuu huvunjika guy yakikuta makuu utanikumbuka tu Leo wapanga foleni kwa sababu ya milioni lakini kumbuka ni wengi wako njian unajenga ghorofa ukiwa kwenu nyumbani hutembei kwa miguu unatembea kwa vani ukipigwa Simu demu hupatikani machizi wengi wamekumisi maskani ukipigiwa Simu demu hupatikani machizi wengi wamekumisi maskani mamaaaa aah iii aaah haaa haaaa iii aaah

yaani jiji nzima we ndio kichuna pekeo uliombiwa ukajiteka na uteo cheki sasa na kukuta matokeo umebaki walia we uko pekeo yaani jiji nzima we ndio kichuna pekee ulioambia ukajiteka na uteo cheki sasa na kukuta matokeo

sijaamini Jana nililia kipindi hiki watoto wadogo kama kina Petro wrote wamekuwa marafiki zako yaletwa na nini haya nilishakueleza ukanifanya yaya pesa nazo huna wanaume wenye pesa hawakutaki tena watoto wadogo ni zamu yenu jishindieni mchumba wenyu mm sina ujuzi ni sha sema hakika na asha ni fanya mpuziiiii aaah iiii aaa aah iii ahh

yaaani jiji nzima we ndio kichuna pekeo ulioambia ukajiteka na uteo cheki sasa na kukuta matokeo umebaki walia we uko pekeo yaani jiji nzima we ndio kichuna pekeo ulioambia ukajiteka na uteo cheki sasa na kukuta matokeo umebaki walia we uko pekeo

ona ona onaaa uuu ona ona sasa baby

Similar Songs

Listen to Chikuzee KICHUNA MP3 song. KICHUNA song from album KICHUNA is released in 2020. The duration of song is 00:04:24. The song is sung by Chikuzee.

Related Tags: KICHUNA, KICHUNA song, KICHUNA MP3 song, KICHUNA MP3, download KICHUNA song, KICHUNA song, KICHUNA KICHUNA song, KICHUNA song by Chikuzee, KICHUNA song download, download KICHUNA MP3 song

Comments (6)

0/500

    New Comments6

    Ali saidoe431

    Noma sana

    Kenya

    lulu27qdk

    jamaa ametisha ngoma kal

    Tanzania

    Almond Alien

    iits always my best ever since

    Kenya

    Jess 254

    i love the message kwa hii song[0x1f618]

    Kenya

    Hon Dee Der Deedo

    Chikuzee hii ngoma ungeifanyia remake... hii ngoma ni kubwa sana aki... Naisikiliza kila wakati.

    Kenya

    MDG media 254

    kichuna tbt i love it

    Kenya

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status