Mji wa Mwangaza
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Mji wa Mwangaza - Godwin Ombeni
...
Kwa mji wa mwangaza hapana usiku
Hautapita tena hapana usiku
Mungu atayafuta machozi na hasara
hapo miaka itakoma hapana usiku x2
(Na mji ule hauhitaji jua wala mwezi kuangaza kwa maana utukufu wa Mungu huutia nuru na taa yake ni mwanakondoo)
Jua halitakiwi,
Hapana usiku.
Yesu ni nuru kweli,
Hapana usiku.
Mungu atayafuta machozi na hasara
see lyrics >>Similar Songs
More from Godwin Ombeni
Listen to Godwin Ombeni Mji wa Mwangaza MP3 song. Mji wa Mwangaza song from album Uinuliwe is released in 2013. The duration of song is 00:04:09. The song is sung by Godwin Ombeni.
Related Tags: Mji wa Mwangaza, Mji wa Mwangaza song, Mji wa Mwangaza MP3 song, Mji wa Mwangaza MP3, download Mji wa Mwangaza song, Mji wa Mwangaza song, Uinuliwe Mji wa Mwangaza song, Mji wa Mwangaza song by Godwin Ombeni, Mji wa Mwangaza song download, download Mji wa Mwangaza MP3 song