Ex Boyfriend | Cover by Dogoh Vick ft. Maina Masha
- Genre:Pop
- Year of Release:2020
Lyrics
Ex Boyfriend | Cover by Dogoh Vick ft. Maina Masha - Dogoh Vick
...
Leo nakula kwa macho nguvu ya kusema sina maneno ya vipasho na jeuri vimeshazima nilishafuta namba zako nikachoma picha zako sikujali ulivyolia mbele ya mashoga zako nikasema uende zako nguo nikakutupia na zaidi uliuguza vidonda kwa vipogo manyanyaso kila siku kwa mawazo ukakonda niko bizzy kuchiti na fungwa zilinimbembeleza nikakubeza unanuka na nikakutelekeza macho makengeza miguu ya pweza kuwa nawe nikasema niliteleza leo unapendeza wamekutengeneza wanaume wenye Mali wenye fedha sasa umejiweza siwezi kujikweza najutia nafasi kuipoteza
Leo aibu yangu ex boyfriend,ex boyfriend,ex boyfriend,ex boyfriend siitwi tena hunny baby jina langu limekuwa ex boyfriend,ex boyfriend,ex boyfriend sikujua taabu peke yangu naugua..........
Nawaza nilifeli wapi kusema sikutaki sura ya baba na kitambi cha makati saa una mtanashati vitozi tena smarti mtu wa gym tena ana six packi niko juu ya bati sina mikakati ghetto mwendo chai na chapati we ushahama burahati mna nyumba masaki mnachoma nyama kila siku party...ushanipiga mikuki aah insta mi sifurukuti aah mambo huwanga hunisuti aah mkifanya photo shooti aah mapenzi hayana commando mwenzako inaniuma roho natamani nikwite njoo turudi kama before kumbe shepu ilijificha kwenye dera hizo skini jeans mama zinakera utanileteanga kwenye machela sikuwa nikikuvalisha shela na ulinibembeleza nikakubeza unanuka na nikakutelekeza macho makengeza miguu ya pweza kuwa nawe nikasema niliteleza leo unapendeza wamekutengeneza wanaume wenye Mali wenye fedha leo unajiweza siwezi kujikweza najutia nafasi kuipoteza leo aibu yangu ex boyfriend,ex boyfriend,ex boyfriend siitwi tena hunny baby jina langu limekuwa ex boyfriend,ex boyfriend, ex boyfriend sikujua taabu peke yangu naugua........
Similar Songs
More from Dogoh Vick
Listen to Dogoh Vick Ex Boyfriend | Cover by Dogoh Vick ft. Maina Masha MP3 song. Ex Boyfriend | Cover by Dogoh Vick ft. Maina Masha song from album Ex Boyfriend | Cover by Dogoh Vick is released in 2020. The duration of song is 00:04:14. The song is sung by Dogoh Vick.
Related Tags: Ex Boyfriend | Cover by Dogoh Vick ft. Maina Masha, Ex Boyfriend | Cover by Dogoh Vick ft. Maina Masha song, Ex Boyfriend | Cover by Dogoh Vick ft. Maina Masha MP3 song, Ex Boyfriend | Cover by Dogoh Vick ft. Maina Masha MP3, download Ex Boyfriend | Cover by Dogoh Vick ft. Maina Masha song, Ex Boyfriend | Cover by Dogoh Vick ft. Maina Masha song, Ex Boyfriend | Cover by Dogoh Vick Ex Boyfriend | Cover by Dogoh Vick ft. Maina Masha song, Ex Boyfriend | Cover by Dogoh Vick ft. Maina Masha song by Dogoh Vick, Ex Boyfriend | Cover by Dogoh Vick ft. Maina Masha song download, download Ex Boyfriend | Cover by Dogoh Vick ft. Maina Masha MP3 song