Unanipenda
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Unanipenda - Calvin John
...
inanitosha kujua kuwa unanipenda japo ninapitia katika magumu najua hutoniacha wala huto nitupa sababu Nina jua jambo moja. I . unanipenda*5. wakati mwingine upendo wako unaniumiza sio kwasababu una nia mbaya ila unanifundiasha unaempenda unamrudi na kumuelekeza sababu unampenda aah upendo wako si wakunipa magari wakunipa fedha na mali upendo wako ni zaidi ya hayo umezinguka pande zote sometimes haumalizii vita ila unipa utulivu kwa ndani upendo wako unanipa amani upendo wako unanitoshereza a chorus. *2
Similar Songs
More from Calvin John
Listen to Calvin John Unanipenda MP3 song. Unanipenda song from album Unanipenda is released in 2020. The duration of song is 00:05:08. The song is sung by Calvin John.
Related Tags: Unanipenda, Unanipenda song, Unanipenda MP3 song, Unanipenda MP3, download Unanipenda song, Unanipenda song, Unanipenda Unanipenda song, Unanipenda song by Calvin John, Unanipenda song download, download Unanipenda MP3 song
Comments (23)
New Comments(23)
Mama Chekno
Agnes vuli
nice l like it .
frank jamesbxuw1
If you have zenith Bank account or Ecobank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new account within 30 minutes time the job is done +2347063796632
Joachim Joshua
umerisha
Calvin John, mimi pia nakupenda sana . mrithi wa poul Clement
Annanwl1l
Calvin John, mimi pia nakupenda sana . mrithi wa poul Clement
Annanwl1l
the song lift me up bro... God bless you
Lusianibn5y7
mlithi w paulclement [0x1f60e][0x1f60e]
peaceone2i3fx
nice song mtumishi mungu azidi kukuinua
Junior Smart8mf8z
salama song siuoni hum jamani
Deborah Kifumbu
keep it up son of god
adeline mwageni
God never leave me alone, cause you love me[0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623]
Erick Jorick
najua Bwana(Yesu) unanipenda, ndio maana ulikufa kwa ajili yangu.
mungu akutunze