Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2017

Lyrics

Kuna Kitu - Gin Ideal

...

Yule, nikiwa naye raha Nisipomwona balaa nahisi upweke Yule wangu tena mzuri sana


Ukimwona utashangaa Utaona wivu Oooh na kila nikikuona Nakuwa kama chizi, nakwama na wewe Oooh nikiwa bila wewe Nakuwa kama chizi, nakwama na wewe Kuna kitu Nasikia kuna kitu Nasikia kuna kitu Nasikia kuna kitu (unanifanya, unanifanya, unanifanya) Nasikia kuna kitu (unanifanya) Nasikia kuna kitu (unanifanya) Nasikia kuna kitu (unanifanya, unanifanya, unanifanya) Nasikia kuna kitu (unanifanya) Nasikia kuna kitu (unanifanya) Nasikia kuna kitu (unanifanya, unanifanya, unanifanya) Oooh na nitabaki naye Sitomwacha kamwe, mapenzi tele Kwenye shida, si tuwalenge hao Wana hadithi zao, hawatuwezi Oooh na kila nikikuona Nakuwa kama chizi, nakwama na wewe Oooh nikiwa bila wewe Nakuwa kama chizi, nakwama na wewe Kuna kitu Nasikia kuna kitu Nasikia kuna kitu Nasikia kuna kitu (unanifanya, unanifanya, unanifanya) Nasikia kuna kitu (unanifanya) Nasikia kuna kitu (unanifanya) Nasikia kuna kitu (unanifanya, unanifanya, unanifanya) Nasikia kuna kitu (unanifanya) Nasikia kuna kitu (unanifanya) Nasikia kuna kitu (unanifanya, unanifanya, unanifanya) Yule nikiwa naye raha Nispomwona balaa, nahisi upweke Yule wangu tena mzuri sana Ukimwona utashangaa, utaona wivu Oooh na kila nikikuona Nakuwa kama chizi, nakwama na wewe Oooh nikiwa bila wewe Nakuwa kama chizi, nakwama na wewe Kuna kitu Nasikia kuna kitu Nasikia kuna kitu Nasikia kuna kitu (unanifanya, unanifanya, unanifanya) Nasikia kuna kitu (unanifanya) Nasikia kuna kitu (unanifanya) Nasikia kuna kitu (unanifanya, unanifanya, unanifanya) Nasikia kuna kitu (unanifanya) Nasikia kuna kitu (unanifanya) Nasikia kuna kitu (unanifanya, unanifanya, unanifanya)

Similar Songs

Listen to Gin Ideal Kuna Kitu MP3 song. Kuna Kitu song from album Kuna Kitu is released in 2017. The duration of song is 00:03:51. The song is sung by Gin Ideal.

Related Tags: Kuna Kitu, Kuna Kitu song, Kuna Kitu MP3 song, Kuna Kitu MP3, download Kuna Kitu song, Kuna Kitu song, Kuna Kitu Kuna Kitu song, Kuna Kitu song by Gin Ideal, Kuna Kitu song download, download Kuna Kitu MP3 song

Comments (25)

0/500

    New Comments25

    Ngotho Ngamau

    my celebrity crush[0x1f618]

    Kenya

    Jerop G Kiprop Manu

    nyc one pass it to manu

    Kenya

    pangah

    being lke crazy wen see

    Tanzania

    Berrycwcjg

    dope

    Kenya

    ney c

    nice

    Tanzania

    Albert Shilinde

    nice

    Tanzania

    awaadra

    pas mal ma cheri

    Senegal

    Wycliffe Murimi

    This Song is Dapper

    Kenya

    beardmayor

    @Imabr5bi:

    From the 254 Kenya... No need for locality info

    Imabr5bi:

    amazing, where iz this girl from!?

    Kenya

    beardmayor

    Nasikia Kuna kitu [0x1f618][0x1f618]

    Kenya

    charitably

    nzuri

    Tanzania

    charitably

    good

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status