Ukipenda
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Ukipenda - Samir Tz
...
amini mapenzi yaeza ua endapo unaye mpenda atakuzingua amini ukipenda ushaumia kidonda moyo usiku waweza lia,amini mapenzi yaeza ua endapo unaye mpenda atakuzingua amini ukipenda ushaumia kidonda moyo usiku waweza lia kwa mabaya nayo tendwa mm nawaza ni kwanini kwanini nilipenda mara cku utanuna kosa hakuna una toroka ana rudi anapo taka visa vingi anajua siwezi muacha anajua nampenda ndo ana data,kumuacha siwezi mm nampenda kwa hivyo yeye ananitenda,kumwacha siwezi mm nampenda kwa hivyo yeye ananitenda aaaiiih aaah aaaiiih aaah ningejua kupenda waweza kufa ni singependa mm,ningejua kupenda waweza kufa ni singependa mm Matteso hayaishi ninaempenda anani tesa mm laiti ningejua mm penzi yanauma aaah nisinge penda mimi Hadi kujiuaa mm niache njiani mm kma barafu juani nitabaki na nani mm ukiniacha njiani jmni
Similar Songs
More from Samir Tz
Listen to Samir Tz Ukipenda MP3 song. Ukipenda song from album Sawa is released in 2018. The duration of song is 00:04:31. The song is sung by Samir Tz.
Related Tags: Ukipenda, Ukipenda song, Ukipenda MP3 song, Ukipenda MP3, download Ukipenda song, Ukipenda song, Sawa Ukipenda song, Ukipenda song by Samir Tz, Ukipenda song download, download Ukipenda MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
Nyaki 1™
bernard lyimo
[0x1f635]
Derick Francea310a
fireeeeeeeeeee
Rayodcmgs
Samir my all time musician tangu zile enzi
Fridah Kasweery
kenya tuko ndani
Kali kaka