Nakuabudu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2014
Lyrics
Nakuabudu - Faustin Munishi
...
e mungu wangu nakutukuza wewe
nakuabudu pokea sifa (ni wewe pekee..)
ni wewe pekee binguni na duniani umeenea unatawala (nikipumua)
nikipumua(baba) uweza na nguvu zako
zinabubujika moyoni mwangu (niseme nini) niseme nini e... ila ninakushukuru fadhili zako ni nyingi muno
(uwepo wako) uwepo wako nausikia karibu magonjwa yangu yanayeyuka
(wewe ni moto) wewe ni moto (baba) wakuunguza shetani akikuona anatoraka
(najisikia) najisikia mwepesi mwilini mwangu uzito wote umotoweka
(na roho yangu) na roho yangu nakuinulia wewe furaha yangu machizi yangu (e.. baba yangu) e baba yangu (ah..) nashindwa kuvumilia yanadondoa machoni mwangu
(sina huzuni) sina huzuni ni machozi ya furaha (eh) ni machozi ya furaha umeniponya nina uzima (nilizunguka)nilizunguka dunia kila mahali sikumpata wakuniponya
see lyrics >>Similar Songs
More from Faustin Munishi
Listen to Faustin Munishi Nakuabudu MP3 song. Nakuabudu song from album Jirani Machozi is released in 2014. The duration of song is 00:04:42. The song is sung by Faustin Munishi.
Related Tags: Nakuabudu, Nakuabudu song, Nakuabudu MP3 song, Nakuabudu MP3, download Nakuabudu song, Nakuabudu song, Jirani Machozi Nakuabudu song, Nakuabudu song by Faustin Munishi, Nakuabudu song download, download Nakuabudu MP3 song