Maji Yana Mdudu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2014
Lyrics
Maji Yana Mdudu - Faustin Munishi
...
Kachimbe kisima wewe mwenyewe unywe maji yako peke
Yako na usiyashiriki nao wengine ni hatari kubwa eeh!
Maji ya kisima cha watu wengi yameingiliwa na
Mdudu ukiwa na kiu usiyaonje utaambukizwa eeh.
Na kiu ya maji imeongezeka watu wanayanywa kila
Wakati na yanauzwa kote barabarani nani atapona eeh?
Kwa sababu maji yana mdudu yanapatikana
Kirahisi ukipita kote utayaona wacha kuyachota eeh.
Ukiwa na njaa ni ya chakula huwa ni vigumu
Upatiwe lakini sigara na hata pombe watakupatia eeh.
see lyrics >>Similar Songs
More from Faustin Munishi
Listen to Faustin Munishi Maji Yana Mdudu MP3 song. Maji Yana Mdudu song from album Jirani Machozi is released in 2014. The duration of song is 00:04:01. The song is sung by Faustin Munishi.
Related Tags: Maji Yana Mdudu, Maji Yana Mdudu song, Maji Yana Mdudu MP3 song, Maji Yana Mdudu MP3, download Maji Yana Mdudu song, Maji Yana Mdudu song, Jirani Machozi Maji Yana Mdudu song, Maji Yana Mdudu song by Faustin Munishi, Maji Yana Mdudu song download, download Maji Yana Mdudu MP3 song