
Dear X
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Dear X - Harmonize
...
Inaniumiza ooh
Hello
Dear ex nimepata tetesi
Za kwanda unanisema ili nionekane si mwema
Pengine una stress, mara umekonda mwepesi
Kwangu ukinya si ukilema ila unachunga vya kusema
Maana niliubeba msalaba ikawa mimi ndo mama mmi ndo baba
Nikajichanga tujaze kibaba mbona husemi
Kiumbe nilishukuru nikapangusa ma tako nikakuacha uende
Ukawe huru urejee na duka ni vyako nibaki na ma kende
see lyrics >>Similar Songs
More from Harmonize
Listen to Harmonize Dear X MP3 song. Dear X song from album Dear X is released in 2023. The duration of song is 00:03:23. The song is sung by Harmonize.
Related Tags: Dear X, Dear X song, Dear X MP3 song, Dear X MP3, download Dear X song, Dear X song, Dear X Dear X song, Dear X song by Harmonize, Dear X song download, download Dear X MP3 song
Comments (36)
Top Comments (4)
yonna_ tz
Khalifa Mutabuzi
kwa kuandika tu, Harmonizer big up ,.. maana umesemwa juzi tu na nyimbo tiyari umetoa.,, amahakika hainaga...kutia huruma [0x1f602][0x1f602]
Africaksmc3
Just unique ❤️
New Comments(36)
Rehema Mogela
ma x shikamooniiii woteeeeeeew lll
165011339
kali sana ❤️
Isack Johnstone
mwamba harmo napenda hata akiimba chochote
editha johni1q1u
[0x1f609]
Esther b25dx
[0x1f641]
TAREEQchxqa
this guy is [0x1f637][0x1f612][0x1f608][0x1f621]
baby irenefmw90
harmonizer nyimbo iko lit
162612966
l
Gladys katitji
[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f] tembo always
major champion
[0x1f624][0x1f624][0x1f624][0x1f624][0x1f60c][0x1f60d][0x1f60d]
163485455
Nzuri sana
macdeandy
Soma mashairi mwisho, aliandika wimbo!
kwa kuandika tu, Harmonizer big up ,.. maana umesemwa juzi tu na nyimbo tiyari umetoa.,, amahakika hainaga...kutia huruma [0x1f602][0x1f602]
Weka like kwa Ex wa Konde [0x1f603][0x1f608]