Simuachi ft. Xouh
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Simuachi ft. Xouh - sadim mavoice
...
.............,,,,,,
labda niwape tarifaaa
jinsii alivyo nishika Huyu shemeji yenuu eeh..wenye mashavu makubwa kaa pipa macho yana watoka mkihisi nitaachwa....natulivyo shikamanaaa mpaka raaha adi shetani kando anakaa... nahatuwezi tengamana....kama paka na paa...kila siku njiani mnakaa...kokote aendako naenda naye...nahata.ukimwita nakuja naye..nadunda mtaani naringa naye.....ohohoh madhambi yake nashare naye..nasimu yangu anashika yeye...hakuna kitu namficha yeye uuuhh .........simwachi.......aki simwachi........simwachi.............simwachi.........,,,,,,,,,,
unaacha tafta hela...,unatafta wapenzi wawatu....watongozeee.....utafeli u..ta..feli....tena huyu niliye naye,hababaiki kwa chochote hata ukimwonga renji ntabaki naye...tena yuko sharp sharp ta sharti mbele nyuma ye hukata kakata,nitamu ladha mi hupata...eeehh...nahata ukimwita nakuja naye...nadunda mtani naringa naye....ooohhh....madhambi yake nashare naye na simu yangu anashika yeye hakunakitu namficha yeye......uuuuuihhh....simwachi.....aki.simwachi... simwachi.......simwachi....
kokote aendako naenda naye
Similar Songs
More from sadim mavoice
Listen to sadim mavoice Simuachi ft. Xouh MP3 song. Simuachi ft. Xouh song from album Simuachi is released in 2023. The duration of song is 00:03:25. The song is sung by sadim mavoice.
Related Tags: Simuachi ft. Xouh, Simuachi ft. Xouh song, Simuachi ft. Xouh MP3 song, Simuachi ft. Xouh MP3, download Simuachi ft. Xouh song, Simuachi ft. Xouh song, Simuachi Simuachi ft. Xouh song, Simuachi ft. Xouh song by sadim mavoice, Simuachi ft. Xouh song download, download Simuachi ft. Xouh MP3 song
Comments (8)
New Comments(8)
mismah
Farida Chiduouqm1m
yaanjuu ya
154757683
❤️❤️
prisca nestory
nic
Nasra Mhea
[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
Winyfrida Kibwengo
mungu akusaidie baby
Marthaoqlwy
Zulfa u know my baby sissy admire u ssana martha hap[0x1f618]
rosemary on1ag
[0x1f618]
jamn