Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2023

Lyrics

Umenikubali - Joel Lwaga

...

Mmmmmh mmmh

Kama Mungu ungetazama kama watu tunavyotazama

Isingetosha kwenye mizani nisingekidhi masharti

Hukuangalia historiaa ya familia niliyotokea

Hazikukutisha zangu tabia ulilitazama lililo jema eeeh

Umenipenda nisiestahili umeniita mwanao niliejidhani yakua sifahi umenipenda upeo

Umebadilisha na yangu asili umenifanya mboni ya jicho lako uuuh mmh

Ungehitaji waliokamili mm si mmoja wao

Ulichojali wangu utayari wakufanya utakalo

Umenikabidhi na zako siri nakunifanya rafiki wa moyo wakoo ooh

see lyrics >>

Similar Songs

Listen to Joel Lwaga Umenikubali MP3 song. Umenikubali song from album Umenikubali is released in 2023. The duration of song is 00:05:31. The song is sung by Joel Lwaga.

Related Tags: Umenikubali, Umenikubali song, Umenikubali MP3 song, Umenikubali MP3, download Umenikubali song, Umenikubali song, Umenikubali Umenikubali song, Umenikubali song by Joel Lwaga, Umenikubali song download, download Umenikubali MP3 song

Comments (55)

0/500

    Top Comments (3)

    Kai +255

    Kama unasikiliza hii nyimbo saizi MUNGU akakufanyie wepesi katika kila jambo lako siku ya leo>

    Tanzania

    judie Mushi

    Nyimbo nzurii sana imefanya nitafakari sana UPENDO WA MUNGU JUU YA MAISHA YANGU WIMBO UMEFANYIKA BARAKA>

    Tanzania

    jesca taraya

    Daah,huu wimbo unaujumbe mzito sana mungu wetu ni mwenye rehema ahsante kwa wimbo mzuri>

    Tanzania

    New Comments55

    Rapkid_nouma

    @Kai +255:

    AMEN…we will all be blessed

    Kai +255:

    Kama unasikiliza hii nyimbo saizi MUNGU akakufanyie wepesi katika kila jambo lako siku ya leo

    Tanzania

    Gasper a1f2g

    Nzuri mno

    Tanzania

    SingoyeFelicia

    Umebadilisha na yangu asili umenifanya mboni ya jicho lako Asante Asante

    Tanzania

    joyfullykilewa@gmail.com

    wimbo umenibariki

    Tanzania

    Evelyn Kyando

    ameniiiiii

    Tanzania

    leokadia looim

    blessed song

    Tanzania

    Lesley rian

    Mungu amekua mkubwa sana kwenye maisha yangu .....this song speaks a lot ,kazi ya bwana iendeleee ❤️

    Tanzania

    Lesley rian

    Mwimbo bora sana ....This God is more than good

    Tanzania

    Diana Benjamin Mwaipaja

    Umeona jema ndani yaangu!!, nawaala!, hukuutazama unyonge wangu

    Tanzania

    Sayunyjlst

    Hii nyimbo imezid kunikumusha kuwa unyenyekevu ndo maisha nayotakiwa kuishi mana sikuctahiri ila ye kanipa kustahir[0x1f621]

    Tanzania

    Priscaelct7

    jesca taraya:

    Daah,huu wimbo unaujumbe mzito sana mungu wetu ni mwenye rehema ahsante kwa wimbo mzuri

    Tanzania

    Jacklinel4sxm

    Nyimbo nzuri sana inatia moyo

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status