Itakuwa Sawa
- Genre:Gospel
- Year of Release:2016
Lyrics
Itakuwa Sawa - Bahati
...
Nilipotenganishwa tu na mama niliingia kwa mtaa tu kutafuta bata eeh masera walinata huku na kule tumaini la kupata hisia na uchungu mito mikubwa milima nilivuka na tumaini tu kwa Mungu awape nguvu nyumbani niliowaacha
nikaamua niende mbali iii mbali na nyumbani nikaamua niende mbali iii kusaka ugali nikaamua niende mbali iii mbali na nyumbani eeh nikaamua niende mbali iii kusaka ugali mbalii eeh itakua sawa
hivi waeleze nyanya na babu itakua sawa hivi shangazi mwambie asife moyo itakua sawa hivi waeleze nyanya na babu itakua sawa waambie oooh itakua sawa
naa hivi msichoke eeh kukopa dukani paendapo pagumu hivi mniombee maisha mjini bado ni sugu na hivi msichoke kukopa dukani paendapo pagumu nanyi mniombee maisha mjini bado ni sugu naelewa na uchungu iliowabana naelewa sirahisi kupambana naelewa na majonzi yamewakumba mama papa naelewa na uchungu uliowabana si rahisi kupambana naamini tukimwamini rabana yote itakua sawa
hivi waeleze nyanya na babu itakua sawa shangazi mwambie asife moyo itakua sawa na hivi waeleze nyanya na babu itakua sawa waambie oooh itakua sawa
napita mengi na si utani waambie as jadanganywa na burudani waambiee napita mengi na si utani waambiee sijadanganywa na burudani waambiee itakua sawa hivi waeleze nyanya na babu itakua sawa shangazi mwambie asife moyo itakua sawa na hivi waeleze nyanya na babu itakua sawa waambie ooh itakua sawa mweleze na nyanya eeh mweleze mjomba eee itakua sawa mweleze masela eeh musyoki wameya itakua sawa mweleze Susana eeh mweleze na guka eeh itakua sawa..... na hivi msichoke
Similar Songs
More from Bahati
Listen to Bahati Itakuwa Sawa MP3 song. Itakuwa Sawa song from album Itakuwa Sawa is released in 2016. The duration of song is 00:03:59. The song is sung by Bahati.
Related Tags: Itakuwa Sawa, Itakuwa Sawa song, Itakuwa Sawa MP3 song, Itakuwa Sawa MP3, download Itakuwa Sawa song, Itakuwa Sawa song, Itakuwa Sawa Itakuwa Sawa song, Itakuwa Sawa song by Bahati, Itakuwa Sawa song download, download Itakuwa Sawa MP3 song
Comments (8)
New Comments(8)
172629615
Shaniqua20
Itakusawa[0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f621][0x1f617]
Shaniqua20
Itakusawa[0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f621][0x1f617]
achieng_M
such an inspirational song
Humphrey mmoja
Like it
Love Matic
Nicky Romen
l love this song
okoroagr3
my best track
Zenith bank and Ecobank account needed for loading Dm ....if you have Moniepoint account also needed for instant loading please not that the moniepoint account must have a POS/terminal attached to the accounts....! Zenith bank and Ecobank account needed for loading Dm ....if you have Moniepoint account also needed for instant loading please not that the moniepoint account must have a POS/terminal attached to the accounts....! .... WhatsApp me if you have it........ +2348065662001 .... WhatsApp me if you have it........ +2348065662001