
Mapenzi
- Genre:Gospel
- Year of Release:2016
Lyrics
Mapenzi - Bahati
...
Nnnna na na na na na na na na na Hee Hapo meanzini aah hapo mbeleni aah shamba edeni aah story ya mapenzi EMB records wengi kwa mapenzi hawana Imani yaliwaumiza sana mapenzi yanatesa zaidi amani ooh aah wengi kwa mapenzi hawana Imani yaliwaumiza sana mapenzi yanatesa zaidi amani ooh na yalimtesanga kakangu zamani nyumbani kawa kizirani washirika wakatoka kanisani la la la la yalimtesanga kakangu zamani yameyaimba wengi kwa burudani mwenyewe alionyesha msalabani la la la la oooooooooh mapenzi kwanini unatesatesa oooooooooh aliyekuumba ni mola mola oooooooooh aah mapenzi kwanini unatesatesa oooooooooh aah aliyekuumba ni mola mola aaah nilifunzwa na babu ooooh alivyomtunza nyanya na nikasoma kwa Baba naye akaja mpenda mama Mii nilifunzwa na babu oooh alivyomtunza nyanya na nikasoma kwa Baba naye akaja mpenda mama na adamu akampenda Hawa sababu akalalia tunda hapo ndipa dhambi kazaliwa unakumbuka eeh? na Adamu akampenda Hawa na dhambi inafanya tunalia kwa mapenzi inafanya tunateswa unanipata? oooooooooh mapenzi kwanini unatesatesa oooooooooh aliyekuumba ni mola mola ooooooh aah mapenzi kwanini unatesatesa oooooooooh aah aliyekuumba ni mola aah nikaogopa kupenda tena nikaogopa kupata wangu mtoto wa mama eeh mbona unatesa mapenzi? mbona unatesa kwanini kazini nyumbani kanisa inasema oooooooooh mapenzi kwanini unatesatesa oooooooooh aliyekuumba ni mola mola oooooooooh aah mapenzi kwanini unatesatesa oooooooooh aah aliyekuumba ni mola aah nikaogopa kupata tena nikaogopa kupenda tena [Mungu kaumba mapenzi]×2 Stori ya mapenzi ×2 ilianzia edeni aah Mungu kaumba mapenzi×2 Hahaha mtoto wa mama Bahati tena musyoka tena depstino aah
Similar Songs
More from Bahati
Listen to Bahati Mapenzi MP3 song. Mapenzi song from album Mapenzi is released in 2016. The duration of song is 00:03:47. The song is sung by Bahati.
Related Tags: Mapenzi, Mapenzi song, Mapenzi MP3 song, Mapenzi MP3, download Mapenzi song, Mapenzi song, Mapenzi Mapenzi song, Mapenzi song by Bahati, Mapenzi song download, download Mapenzi MP3 song
Comments (10)
New Comments(10)
felixsogech
Musique de la région
Big up Bahati tena !
Terrie Trizah
Mapenzi yanatesa kweli...
Yvetteofficialsclau4
[0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f621][0x1f619][0x1f619][0x1f619]
fedinand ouma
this is my all time best hit from young baha....♥️♥️♥️
Steve James Odhiambo
nice
Joy Jovin
actually u r my role model.....[0x1f641][0x1f641] big up mummy's boy
Elijah Lopeimoit
hiko fty
Kãpāñyå Mûbåyä
[0x1f627][0x1f627][0x1f627][0x1f627][0x1f627]
True words spoken.
Magdalinebs69g
True words spoken.
na sahizi