Loading...

Singefanikiwa
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Singefanikiwa 🅴 - Wakadinali
...
Eya, Eya, Eya Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa pia Ilikuwa kidogo nishalose hope Sikudhani ningefanikiwa Sikudhani yakwamba ningefanikiwa pia Ningefanikiwa Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa Ilikuwa kidogo nishalose hope Sikudhani yakwamba ningefanikiwa Sikudhani yakwamba ningefanikiwa Ninge—, Ningefanikiwa Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa Ilikuwa kidogo nishalose hope Sikudhani yakwamba ningefanikiwa Sikudhani yakwamba ningefanikiwa Ninge—, Ningefanikiwa Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa Ilikuwa kidogo nishalose hope Sikudhani yakwamba ningefanikiwa Sikudhani yakwamba ningefanikiwa Yo yo yo, yo yo yo Hatudai utiaji joh hatudai urazi Hatujali ka we tas ama mzazi Hatuko ithaa ya hio ganja ama mgazi (Yo, yo, yo, yo, yo) Tuko ithaa tu ya ganji Ingia kwa M-Pesa toa pesa patia Essence Diamonds si huvuna tukiwa na pressure Addictive design tuko chini ya brown ka desert Naskia Sand-Sand-Sandy anataka tressure Silence ndo the best treatment After show mi hudancigi my way to the githe Yahoo boyz hufika my bei thanks to mnite Msistren anataka nidiste ju ya mnithe Na live na hope ni ka niko Kamiti ju ya dope Wakatoliki naskia wanapraisingi Pope Mi nko huku chini joh naget high on coke Popote pahali nmefika na give thanks to God Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa pia Ilikuwa kidogo nishalose hope Sikudhani ningefanikiwa Sikudhani yakwamba ningefanikiwa pia Ningefanikiwa Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa Ilikuwa kidogo nishalose hope Sikudhani yakwamba ningefanikiwa Sikudhani yakwamba ningefanikiwa Ninge—, Ningefanikiwa Kaa unadigi mtu wangu, I gotta go grind Siezi show ndoto zangu bigi to a small mind Wow, pesa pombe siasa wanawake siezi overcome Story za mkopo fuliza ndo habit nimeshindwa ku overcome Zing riu mtaani kayo umetiach Zoza ngiri shingili raz come nikuteach Wacha wash wash husband dishwasher Wacha, mi ni mrazi, ah nilimuacha Wife yangu life poa, posh anaitwa Posher Life yangu Doch, tunashangaa hawa vijanaa Mnatueka kwa crisis, tunacry sis Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa pia Ilikuwa kidogo nishalose hope Sikudhani ningefanikiwa Sikudhani yakwamba ningefanikiwa pia Ningefanikiwa Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa Ilikuwa kidogo nishalose hope Sikudhani yakwamba ningefanikiwa Sikudhani yakwamba ningefanikiwa Ninge—, Ningefanikiwa Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa Ilikuwa kidogo nishalose hope Sikudhani yakwamba ningefanikiwa Sikudhani yakwamba ningefanikiwa Ninge—, Ningefanikiwa Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa Ilikuwa kidogo nishalose hope Sikudhani yakwamba ningefanikiwa Sikudhani yakwamba ningefanikiwa Ninge—, Ningefanikiwa Usijifanye unanijua nakuvibe Hao majamaa wakituma masiwa tunakuchai Si wengi ni fewer walikubali Ulikuwa na mimi nikiwa chini we jua ninakumind Otherwise tuko zero degrees here Chemsha bongo ni maombitho na riz pia Nyi' hubonga matope hio ndio reason mi hujiskia Mangwai high content ndio najiskizia this year Nikitosheka hio ni bliss nasema "Bismillah" Nikilala nakumiss ama namiss miraa Tulianza na kiss saii ye ni kisiran' Hakuna kitu mumemiss yenye mi sina Sikudhani ingehappen Especially after kuambiwa usanii haina something Mi niko kazi yo, we be camping VOM ma mat kwa rodi they be bumping Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa pia Ilikuwa kidogo nishalose hope Sikudhani ningefanikiwa Sikudhani yakwamba ningefanikiwa pia Ningefanikiwa Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa Ilikuwa kidogo nishalose hope Sikudhani yakwamba ningefanikiwa Sikudhani yakwamba ningefanikiwa Ninge—, Ningefanikiwa Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa Ilikuwa kidogo nishalose hope Sikudhani yakwamba ningefanikiwa Sikudhani yakwamba ningefanikiwa Ninge—, Ningefanikiwa Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa Ilikuwa kidogo nishalose hope Sikudhani yakwamba ningefanikiwa Sikudhani yakwamba ningefanikiwa Ninge—, Ningefanikiwa pia"QQ"
Similar Songs
More from Wakadinali
Listen to Wakadinali Singefanikiwa MP3 song. Singefanikiwa song from album NDANI YA COCKPIT 3 is released in 2022. The duration of song is 00:04:43. The song is sung by Wakadinali.
Related Tags: Singefanikiwa, Singefanikiwa song, Singefanikiwa MP3 song, Singefanikiwa MP3, download Singefanikiwa song, Singefanikiwa song, NDANI YA COCKPIT 3 Singefanikiwa song, Singefanikiwa song by Wakadinali, Singefanikiwa song download, download Singefanikiwa MP3 song