Loading...
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Chunga 🅴 - Wakadinali
...
Follow Wakadinali on Bandsintown [Intro] Big beats Afriq [Chorus: Domani Munga] Early in the morning kwa maperas (Ching' ching') Chunga, njuang' yangu ka magera vile ina, dunga dunga Shang' mbeng'a, skeng'a Ukijileta, zitakupenda Niko maprama, whatever niko ma Gucci, Prada Rada nigro? Niko zozote utaveveva Early in the morning kwa maperas (Ching' ching') Chunga, njuang' yangu ka magera vile ina, dunga dunga Shang' mbeng'a, skeng'a Ukijileta, zitakupenda Niko maprama, whatever niko ma Gucci, Prada Rada nigro? Niko zozote utaveveva Early in the morning kwa maperas (Ching' ching') Chunga, njuang' yangu ka magwera vile ina, dunga dunga [Verse 1: Domani Munga] Ifikie huyo mrazi huku mtaani kume— Chrome sana ka paipu kiatu ya matope una kanyanga mafi yo Hakunanga cha breki, nikipita na hio mbathi One forty k.am, drill, hamnipati Njueng'a before itoke, nyi hubonga shonde Rengwa before nitoke, before nichoche mi hurudi stone age Me and my fans only na my fuck bitches msikonde Hapana my smile shawry, hio mole inaeza fanya nikuokote Good friday ilikuwa best adi Monday tukashindwa ku resurrect Cool daddy me hufunga belt Andele andele hapa hakuna ku rest Mapema ndio best Maperas alafu inafika saa kumi na set Masela usha geuka kwela? Unapenda kumblein Unaanza kusuka na hujui kwa bed vile mi hudunga Chude her ni kama mi ni mbuzi Bitch aliitisha akapata akashtuka Sheng' shengili, shembeteng' lingwa, zote ni lugha From ten, saa mbili, tasa unashinda ukisema una kuja[Chorus: Domani Munga] Early in the morning kwa maperas (Ching' ching') Chunga, njuang' yangu ka magera vile ina, dunga dunga Shang' mbeng'a, skeng'a Ukijileta, zitakupenda Niko maprama, whatever niko ma Gucci, Prada Rada nigro? Niko zozote utaveveva Early in the morning kwa maperas (Ching' ching') Chunga, njuang' yangu ka magera vile ina, dunga dunga Shang' mbeng'a, skeng'a Ukijileta, zitakupenda [Verse 2: Scar Mkadinali] Dunga kwa face, neck, breast, chest, chest, chest Njuara ni ya beshte-nge Mi huchora na, pencil Wabebe wabe-be Whip ina bounce ka bat check Yes, matembe matembe Ketepe inaitishanga, Reggae Yo, washa ki Bob Marley Anaitaka, raw ndani Siku izi nikifan, kila mtu ni peng nashindwa nita rob nani Niliona maajabu siku nilikuja kurukwa na mon army Alikuwa bazu, saa hii zuba yo! What happened? Hatuko category same Sina nguvu ya kunego mabei Natumia pesa ndio isinitumie, haunipati kwa simu, nitext Hii ni kapenguria three Hatulali tukitumia wadhi Zii, hii ni kapenguria three hatulali tukitumia wadhi Ukiona rende unakua mless Utakatwa makende uprodress And we at your door step Roll with the niggas that talk less Peng ni rapper ametokea juzi anataka collabo, I want sex Preacher anasema niko possesed Mambang'a wanasema ni gode [Chorus: Domani Munga] Early in the morning kwa maperas (Ching' ching') Chunga, njuang' yangu ka magera vile ina, dunga dunga Shang' mbeng'a, skeng'a Ukijileta, zitakupenda Niko maprama, whatever niko ma Gucci, Prada Rada nigro? Niko zozote utaveveva Early in the morning kwa maperas (Ching' ching') Chunga, njuang' yangu ka magera vile ina, dunga dunga Shang' mbeng'a, skeng'a Ukijileta, zitakupenda Niko maprama, whatever niko ma Gucci, Prada Rada nigro? Niko zozote utaveveva Early in the morning kwa maperas (Ching' ching') Chunga, njuang' yangu ka magera vile ina, dunga dunga Shang' mbeng'a, skeng'a Ukijileta, zitakupenda[Verse 3: Domani Munga] Big my team Big up my crime team Tuliwasosi, walikulwa, kwanza walikuwa wameenda Gym Kama ni [?] confuse confidence na impunity Njueng'a baruti, I'm the bom, siezi piua through security Bado huja nikanja, why? Manze umedunga, ushakua fine, mine Mapema ndio best, but ikifika kulipa deni, that's where you draw the line Maza, maza, Mr miagi, Munga master Adam show Eve "Nyamaza" niaje snake ikaleta Eden hazard? Inanibamba, niko shughuli mjini Unadai kuilamba? Na vile hii mwiko imepitia sufuria mingi Huradi [?] ya kwanza Ilikuwa tuishi gaza, na ilikuwa pesa ya mzazi Hio sasa, hio ndio place fulani I was circumcised in[Chorus: Domani Munga] Early in the morning kwa maperas (Ching' ching') Chunga, njuang' yangu ka magera vile ina, dunga dunga Shang' mbeng'a, skeng'a Ukijileta, zitakupenda Niko maprama, whatever niko ma Gucci, Prada Rada nigro? Niko zozote utaveveva Early in the morning kwa maperas (Ching' ching') Chunga, njuang' yangu ka magera vile ina, dunga dunga Shang' mbeng'a, skeng'a Ukijileta, zitakupenda Niko maprama, whatever niko ma Gucci, Prada Rada nigro? Niko zozote utaveveva Early in the morning kwa maperas (Ching' ching') Chunga, njuang' yangu ka magera vile ina, dunga dunga Shang' mbeng'a, skeng'a Ukijileta, zitakupenda
Similar Songs
More from Wakadinali
Listen to Wakadinali Chunga MP3 song. Chunga song from album NDANI YA COCKPIT 3 is released in 2022. The duration of song is 00:05:34. The song is sung by Wakadinali.
Related Tags: Chunga, Chunga song, Chunga MP3 song, Chunga MP3, download Chunga song, Chunga song, NDANI YA COCKPIT 3 Chunga song, Chunga song by Wakadinali, Chunga song download, download Chunga MP3 song