Loading...

Shit Yangu ft. Wangechi
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Shit Yangu ft. Wangechi - Wakadinali
...
employee of the month..×4 (Sina nguvu tena Sina muda wa kufight na mwanadamu nafanya shit yangu ×5)×2 juzi juzi na si siri tumeshinda movies nikatunaona series ndani ya vitz wakiuliza which activity mnadoo tunawaambia which activities akikusize ni usherati sites za gwati sides za bati salimu wanati ju this time ka uradi utasanifu mabati Am chasing my goals ka ufiki bei ur breaking my goals am chasing my goals ka ufiki ur breaking my goals am chasing my goals na ufiki bei ur breaking my balls am chasing my goal... nika hii kanairo hujuangii videep wee inakaa hujawai heartbreakiwa vizuri malindi ndii dramatise atakushinda mahindi bee (sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwandamu nafanya shit yangu ×4)×2 Mmmmh me ni Wangechi walai nafanya shit yangu na pull up na magwai kwa karai nafanya shit yangu ni deepni east na si kwa mababi nafanya shit yangu Wangechi wangechi wangechi wa manyaangs karao ukiniona furahi ndo wife na mtoi wapate staftahi walai kesi baadaye labda me nikupee burns (sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu nafanya shit yangu×4 )×2 nilishamuaga si struggle hii mwaka nafanya shit yangu ndugu za na wanakimbizaga mchana me ni usiku ndo naingia shift yangu wanajimix mimi na keep calm tu uwaganis uwaga imekosa chanjo pakijeans para ni za kitambo cannabis ka tumekosa mipango size risky inatoshana na candle nina discipline siwezi cheza na cargo what what mrembo anafanya pesa na fumble iikiisha wanasogea kando heehee (sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu nafanya shit yangu ×4)×2 After math always huwaga hesabu hawana mistari na tumejaza vitabu mariba tangu enzi za babu mascandle za media ziliingiza maribe kwa taabu ka wanatuulizia wee waambie tunamuja tuko mastula tushaorder sambuka unaweza ii vuta si tuko maduya piga scene dunda tukitafuta mfupa goals zangu hazini allow nyi kufunga door ooh nyi ndo magate keep umbwaa (me nafanya shit yangu wee unakam kuniletea shida zako)×2 (Sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu nafanya shit yangu ×4)×4
Similar Songs
More from Wakadinali
Listen to Wakadinali Shit Yangu ft. Wangechi MP3 song. Shit Yangu ft. Wangechi song from album NDANI YA COCKPIT 3 is released in 2022. The duration of song is 00:04:28. The song is sung by Wakadinali.
Related Tags: Shit Yangu ft. Wangechi, Shit Yangu ft. Wangechi song, Shit Yangu ft. Wangechi MP3 song, Shit Yangu ft. Wangechi MP3, download Shit Yangu ft. Wangechi song, Shit Yangu ft. Wangechi song, NDANI YA COCKPIT 3 Shit Yangu ft. Wangechi song, Shit Yangu ft. Wangechi song by Wakadinali, Shit Yangu ft. Wangechi song download, download Shit Yangu ft. Wangechi MP3 song