Loading...

Mariwanna
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Mariwanna - Wakadinali
...
Walai mama Mariwanna nakulove nakuroll nakundasuski kwa nyonginyo Walai mama Mariwanna nakulove nakusmoke ka marashi za ombitho kuchanganyanya mpaka Wajackoyah ikabidi akusifu kwa radio Walai mama Mariwanna nakulove nakjsmoke ka marashi za ombitho (SCAR) [yeah for real].. nakucop nakusort nakufold nakuroll nakusmoke unanichoke, bado nakutop high school nkiwa broke naku broke siku za draught nakudrop we ni plant we ni crop why stop? nakupass nakureceive nakusip [×2] nitoe seeds na your siz ni masiz naeza mix ikue biz nilikusprinklia moli ukacheza kama wewe ukanipatia mori nikiwa na Rende unatulizanga ngori Mungu akulinde usishikwe kwa io lorry Una light mood time tunafeel boring with the right cook ndani ya chai ama coffee nakukula ocha maana'ye nikishikwa na wewe ni copper na smile siezi kukupata shop nikidai na msee ye hupotezanga time
Similar Songs
More from Wakadinali
Listen to Wakadinali Mariwanna MP3 song. Mariwanna song from album NDANI YA COCKPIT 3 is released in 2022. The duration of song is 00:04:07. The song is sung by Wakadinali.
Related Tags: Mariwanna, Mariwanna song, Mariwanna MP3 song, Mariwanna MP3, download Mariwanna song, Mariwanna song, NDANI YA COCKPIT 3 Mariwanna song, Mariwanna song by Wakadinali, Mariwanna song download, download Mariwanna MP3 song