- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Mc Mca 🅴 - Wakadinali
...
MC still MCA USA, USB na ka charger type c Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb MC still MCA USA, USB na ka charger type C Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb Screen yangu bado ni JVC Old school blood mi huona KBC Kichwa mbaya, Sewer siskii Watu wa CBC unaeza tuita Gen Z (Gen Z) Same thing shit still never changed Bado MVP tukimalizanga game (Game) Sioni haya zetu zikikanashi Mi ndo VIP kwa show zote mna-attend (VIP) JYK ukituona jiekee Jeshi ya B imekam kuharibu South C (South C) Barricade kuna wale wana AK Jeshi ya D imekam kuharibu South B AV ukidai tuchome scene (Aha) Utatuchoma picha ju hatunanga ID MP hajawai skia our plea (Yeah) Mara IEBC vitu hata haitusaidii (Yeah yeah) MC still MCA USA, USB na ka charger type C Charactеr yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb MC still MCA USA, USB na ka chargеr type C Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb Yo, ni kaa mi ndo niliwaletea corona Wanabonga very bad, loud hao ma hater mthii snake kula corner Sababu s**t zao mi huzioneshanga rogue and C Nikitaka peng labda Nikita Kering' Lupita haniezi labda akitaka ring Ju ni kuficha ring tuki-do ma featuring Sprite, lean na niko bin Dry gin nayo nicotine, "Hi, honey I'm home" Nazikindanga kaa 10 ma githecha Since kindergarten nadaingi Kim Kardashian Mombasa, Naivasha, ama nikupeleke Rhodesia? Ama Dar mpaka Moro? Acha ni earn nikuwai goro MC still MCA USA, USB na ka charger type C Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb MC still MCA USA, USB na ka charger type C Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb Yo, this year niko fully loaded MCA mbele ya wasee sikuli gode Sichoose kazi jo uchumi ngori Usiulize nafanya nini niko shugli zote Usimess na hii shit ni deep Dem yako sikumdishi nilimpimp Purura windows ni tint Karao anachunguza nini hio inastink Brejin, how you behavin' KSM vitu tulifanya Airbnb MC wenu bado MCM That's why they can't compare me and them Juu ya chats kama VOM Juu ya cash, uone violence Niliuliza matha "Land, ama ubuy-iwe Benz" Kovu on demand, warazi wana-tense MC still MCA USA, USB na ka charger type C Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb MC still MCA USA, USB na ka charger type C Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb MC still MCA USA, USB na ka charger type C Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb MC still MCA USA, USB na ka charger type C Character yangu ime-develop vibaya ADHD ndani ya Airbnb
Similar Songs
More from Wakadinali
Listen to Wakadinali Mc Mca MP3 song. Mc Mca song from album NDANI YA COCKPIT 3 is released in 2022. The duration of song is 00:03:58. The song is sung by Wakadinali.
Related Tags: Mc Mca, Mc Mca song, Mc Mca MP3 song, Mc Mca MP3, download Mc Mca song, Mc Mca song, NDANI YA COCKPIT 3 Mc Mca song, Mc Mca song by Wakadinali, Mc Mca song download, download Mc Mca MP3 song
Comments (46)
Top Comments (1)
Bonham1
New Comments(46)
Lydiah Ombati
Yo still mca wow[0x1f63f][0x1f63f][0x1f621][0x1f627][0x1f627][0x1f627]
Justin Muhoho
[0x1f630][0x1f630][0x1f630]
illuminati brotherhooddqhu0
ARE YOU INTERESTED IN THE WORLD OF FAME?? GETTING RICH. POWERFUL AND FAMOUS? JOINING THE ILLUMINATI BRINGS YOU INTO THE LIMELIGHT OF THE WORLD IN WHICH YOU LIVE IN TODAY. YOUR FINANCIAL DIFFICULTIES ARE BROUGHT TO AN END. WE SUPPORT YOU BOTH FINANCIALLY AND MATERIALLY TO ENSURE YOU LIVE A COMFORTABLE LIFE. Contact us WhatsApp +27798338524
purity kanana ld6wy
wanabonga very bad round hao maaters zz
purity kanana ld6wy
wanabonga very bad round hao maaters zz
156860910
nikaa mi ndo niliwaletea corona[0x1f63f][0x1f621]
eeltinting
"snake kula corner"moto bana,dope ma big boyz
148221511
@Robert 5wjj6:yeah
Mike Mainae1ipb
Watu wa cbc unaweza tuita jenzi
Randyu0f0x
tunachoma picha ju hatunanga I'D [0x1f602][0x1f602][0x1f602]
Randyu0f0x
mimi huona KBC kichwa mbaya
agnespvd9z
snake kila conner
Nikitaka peng, labda Nikita Kering/ Lupita haniezi/ Labda akitaka ring/ Bars+Flow+Rhyme=Masterclass[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63b][0x1f63b]