
Nitavumilia
- Genre:Afropop
- Year of Release:2019
Lyrics
Nitavumilia - Madini Classic
...
Nikama nakosa pumzi maneno yanakwisha ee! dunia Yana mengi binadamu hawana wema eeh! Nikama nakosa pumzi maneno yanakwisha ee! dunia Yana mengi binadamu hawana wema eeh!
chonde chonde roho yangu usifanye hasira initawale nionekane mbaya mimi eeh ,aah ona wanasema nanii kamtongoza nanii hata baada ya kuniibia hawaoni binadamu wabaya! ona kabaki nalia na moyo wangu (Sana) wananitukana mpaka wenzangu (sana) nani aponye kidonda changu ,mama madini roho yangu..
Nitavumilia tuu ( kwa sana) mimi nitavumilia (kwa Sana)
Nitavumilia tuu ( kwa sana) Mimi nitavumilia (kwa Sana)Nitavumilia tuu ( kwa sana) Mimi nitavumilia (kwa Sana)Nitavumilia tuu ( kwa sana) Mimi nitavumilia (kwa Sana)
Mama madini anauliza mwanangu wapi mjukuu ila mitandaoni wanasema nimemtaliki mwanangu,, ooh ona maadui hawajalala wananipigia mpaka usiku eti handsome umekula ndio kesho wasemeseme, na mungu sio asumani Kuna wanao nipenda naomba msiniache,
chonde chonde roho yangu usifanye hasira initawale nionekane mbaya Mimi eeeh
ona wanasema nani kamtongoza nanii hata baada ya kuniibia
see lyrics >>Similar Songs
More from Madini Classic
Listen to Madini Classic Nitavumilia MP3 song. Nitavumilia song from album Nitavumilia is released in 2019. The duration of song is 00:02:50. The song is sung by Madini Classic.
Related Tags: Nitavumilia, Nitavumilia song, Nitavumilia MP3 song, Nitavumilia MP3, download Nitavumilia song, Nitavumilia song, Nitavumilia Nitavumilia song, Nitavumilia song by Madini Classic, Nitavumilia song download, download Nitavumilia MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
Frank Ben 195xe
REGINA Johng18lg
[0x1f641][0x1f618]
tessy tash
wooow
Issaepdj6
nice song
Sophia Onditi
dope
If you have zenith Bank account or Ecobank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new account within 30 minutes time the job is done +2347036681271