Kings Music

943k
Ni Label kubwa sana Bongo inayosimamiwa msanii Alikiba na kufanikiwa kuweza kuinua vipaji ndani ya Bongo.