65.1m

Khan

Mbosso
Moja ya zawadi nzuri "KHAN" Ep kutoka kwa fundi wa muziki mzuri Mbosso sasa tumeshakusogezea hapo hapo ulipo, 'KHAN' EP imebeba Ngoma 06 za moto akiwa amewashirikisha Ya Levis, Mohammed Almanji, Costa Titch & Alfa Kat , Ruby na Diamond Platnumz, Bofya leo uburudike zaidi na zaidi sasa. ...